Huo ni uhuni na ushenzi.....katiba gani duniani isiyoweka ukomo wa utawala wa viongozi?iko wapi demokrasia sasa?Badilisheni chadema kiwe chama cha kifalme au cha kidikteta tujue moja basi,mpka mungu atakapomchukua kiongozi mmoja ndipo achaguliwe mwingine...NIMERUDISHA RASIMI KADI YA CHADEMA LEO
Kumsafirisha mtu kwa siri,ukimnyima hata haki ya kula ndio kazi ya polisi?polisi wangekuwa na nia njema ya kutoa haki kwa aliemwagiwa tindikali,wangetenda haki pia kwa watuhumiwa..jeshi la polisi linatumia ubongo uliooza unaotoa funza...wa mwigulu nchemba na wenzake....HAKUNA UTAWALA...
Askari aliefichua maovu ya polisi waandamizi wanaojihusisha na mitandao ya ujambazi morogoro mwaka juzi aliambiwa MGONJWA WA AKILI.
Askari mwingine wa arusha nae alijitoa muhanga akaweka hadharani unyanyasaji mkubwa unaofanywa na maafisa wa juu wa jeshi la polisi kwa askari wa chini naye...
Unaonekana hujitambui..utaratibu wa kushortlist unategemea nafasi za kazi.kanuni za recruitment zinataka shortlist sio longlist ndio maana tunatuma CV ili waweze kupunguza watu..huwez kuita watu 1000 kwa nafasi 5,angalia resources wanazotumia kuita watu 1000,magari,wasimamizi wengi,usahishaji...
Jaman wana jamii nimeona barua ya jana tar 21 May 2013 ya RPC arusha akimkingia kifua bosi wake RC (mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa), nikiwa mtanzania mwenye akili timamu nimejiuliza maswali yafuatayo;
1.Kama center namba iliyotuma ujumbe huo ni ya nje,kwanini namba ya simu...
Huhitaji kuwa "rocket scientist" kujua kwamba CCM wana lengo la kuifilisi nchi hii.Tembo 57 hufa kila siku Tanganyika ili kukipatia fedha za kutosha chama cha mapinduzi kuhakikisha wanahonga watu na kuiba kura ili kibaki madarakani.Wameuza kwa bei ya kutupa migodi yote ya almasi na dhahabu,Juzi...
Ukienda upande wa logic pia unaprove kuwa clip hiyo is a descent simulation..Huyo aliekuwa anaelekezwa mbona hajachangia chochote?na hajaonyeshwa karibu dakika zote...intentionally alieonyeshwa ni rwakatale tuu ambae ndio walimtarget...mpango huo haukuwa na mshiriki mwingine yoyote?matukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.