Kosa kubwa ni kuwa tuna raisi mwanamke,kiuhalisia wanawake wengi wanapenda sana utegemezi,wao jambo likiwa na changamoto kidogo tu ni wepesi wa kukimbia kutafuta msaada,Si ajabu mama zetu wanakopa kwenye vikoba na sehemu zingine kutatua changamoto za mavazi,kitchen party,kusuka nywele n.k...