Recent content by Biobenga

  1. Biobenga

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mkuu TANESCO Nimebambikiwa deni la umeme la milioni tatu. Kila nikinunua umeme nakatwa asilimia 50%, tatizo limeanza wiki mbili zilizopita. Baada ya kupiga simu nikapewa taarifa ya hilo deni kuwa ni kabla ya mfumo wa Luku. Nimekuwa mlipaji mzuri wa bili za umeme Tanesco kabla ya Luku. Hivyo...
  2. Biobenga

    Laptop nzuri inauzwa kwa 350,000Tsh

    Dell Inspiron laptop (350,000 Tsh) Processor: Core i3 Ram: 4GB Hard Disk: 500 GB HP Notebook (400,000 Tsh) Processor: Core i3 Ram: 8GB Hard Disk: 500 GB Laptops zote zimetumika lakini zipo kwenye hali nzuri Kwa anayehitaji anicheki PM
  3. Biobenga

    Wenye ID zaidi ya moja tukutane hapa

    Kama inakutosha sawa mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Biobenga

    Wenye ID zaidi ya moja tukutane hapa

    Nakuunga mkono mkuu. Lakini sio mod kweli ww...! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Biobenga

    Wenye ID zaidi ya moja tukutane hapa

    Hahahh, we unazo ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Biobenga

    Wenye ID zaidi ya moja tukutane hapa

    Habari za ijumaa, Nasikia mida hii mods wamelala, kama hawajalala sio mbaya pia nina swali kwao "kuwa na ID zaidi ya moja ni kosa kwa sheria za JF?" Baada ya swali hilo nawakumbusha mods tupo chitchat na ninawakaribisha wachangie kwenye uzi wangu. Turudi kwenye mada sasa leo itakua vizuri...
  7. Biobenga

    Nimewatafuta ndugu zangu tuliochangia baba lakini hawaoneshi kufurahishwa na uwepo wangu

    Mkuu unapouliza namba kwa mtu akisema hana ni bora kumuuliza kama ana uwezo wa kuipata akutumie na sio kwa nini hana. Hilo swali halijakaa vizuri, hasa kwa mtu ambaye hamjazoeana. Lakini suala la msingi usije kujilazimisha kwa mtu ambaye hana time na wewe. Jitahidi kuwatafuta lakini kuwe na...
  8. Biobenga

    Wanawake wanaokushauri usiolewe, wameshaolewa. Na wanaume wanaoshinda JF watuambie saa ngapi wanafanya kazi

    Hongera kwa kutafuta za kwako. Hata hivyo niliowalenga wameelewa. Na kama umeolewa usipotoshe wenzako, nadhani hilo ndio lililokugusa sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Biobenga

    Wanawake wanaokushauri usiolewe, wameshaolewa. Na wanaume wanaoshinda JF watuambie saa ngapi wanafanya kazi

    Ina maana hujawahi kusikia nje ya JF wanaolalamika maisha magumu. Na nyuzi za humu hujawahi kuona. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Biobenga

    Wanawake wanaokushauri usiolewe, wameshaolewa. Na wanaume wanaoshinda JF watuambie saa ngapi wanafanya kazi

    Hujawaona wakilalamika unawajua? Una hakika kama hawana multiple ID au nje ya JF hawalalamiki. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Biobenga

    Wanawake wanaokushauri usiolewe, wameshaolewa. Na wanaume wanaoshinda JF watuambie saa ngapi wanafanya kazi

    Na nyie wanawake mnaridhika nacho kipato chao kidogo. Au hampendi tena maisha mazuri. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom