wana 10 months, asubuhi tu wakiamka nawapa maziwa, saa 2 nawapa uji wa lishe, wanapumzika, wakiamka nawapa supu ya samaki au mbogamboga itakayokuwepo,wanapumua kama aftr an hour wanapewa juice au tunda wale wenyewe, nikiwa nakunywa chai nao nakaa nao pemben nawapa mkate wanatafuna, mchana...