Recent content by bintiEdo1989

  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi internship

    Binti wa miaka 26 nimehitimu diploma ya Finance katika chuo cha Utumishi wa umma Tanzania natafuta kazi ya kujitolewa hii ikiwa ni kwa lengo la kupata uzoefu wa kile nilichokisoma kwa vitendo na kuongoza maarifa mwenye huitaji au kama kuna sehemu inajitaji mfanyakazi nijuzeni
  2. B

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya habari channel ten ina lengo la kuchafua nchi

    Habari editing kaangalie vzuri
  3. B

    JamiiForums Tanzania Pinda akiwa Rais, mtamuona Kikwete ni bora zaidi

    Alikiibia nn? Au unaongozwa na siasa za chuki na tuhuma za upuuzi
  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM wametoa ratiba ya vikao kwa siku ya leo tarehe 10 Julai, 2015

    Akatwi mtu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kinachojili usiku huu katika mkutano wa CCM kutoka ukumbi wa CCM Convention Center

    Sitegemei tetesi za wavuta bangi wa JF na pia siwez kuumizwa kwa shibe ya mtu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hafai kuwa Rais na ni balaa kwa Taifa

    Vivaaaa ENL
  7. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

    Tangu siku nyingi anamsubiri Jk amalize muda wake vivaaaa ENL
  8. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Hakuna kitu nilichofanya bila Kikwete Kujua

    Alikuibia nn leta uhakika hapa sio kuongozwa na siasa za chuki na tuhuma za kipuuzi
  9. B

    JamiiForums Tanzania CCM Wakimpitisha mtu mwenye tuhuma za Rushwa utakua mwisho wangu kuingia humu JF!

    MAHANJU Anza kuaga mapema
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Jiandae kisaikolojia kuongozwa nae
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    Vivaaa ENL
Back
Top Bottom