Recent content by Binti1

  1. Binti1

    JamiiForums Tanzania GE2025 Updates: Matukio muhimu kuhusu Maandamano ya tar. 29 Oktoba 2025

    Mkimpata Muliro nikatieni matako yake kuna kautafiti nafanya
  2. Binti1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu aliyeko Uganda Kampala

    I'm sure your family needs the money more that I do. Adios
  3. Binti1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu aliyeko Uganda Kampala

    Its the evel of stupidy mnayoonyesha, au kwasababu nimesema vijana? Maana it can be anyone hata kijana wa kike. Any hows ilikua ni mchongo wa e-marketing na nilitaka kushare na watanzania wenzangu waliopo hayo maeneo coz saaa ingine sio kila kitu unapass kwa unaowajua. Kwa style hii watu...
  4. Binti1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu aliyeko Uganda Kampala

    duu ndo maana Wa TZ tuko nyuma kifikra na kimaendeleo. Mtu anatafuta fursa za biashara na kutaka kutoa nafasi kwa vijana nyie mmeenda kwenye mambo ya ki&$#@zi kabisa. Specifically nimesema awe anajua mambo ta teknolojia na social media, anyways walio serious wamejieleza all the best na fikra...
  5. Binti1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu aliyeko Uganda Kampala

    Habari nahitaji mtu aliepo Uganda Awe na uzoefu wa masuala ya teknolojia na social media. Pia awe kijana mchangamfu yani kijana wa mjini ukipewa kazini unafanya kwa uhakika.
  6. Binti1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kufanya mapenzi ukweni pale mnapokuwa mmeenda kutembea?

    Huyu mkarimu kweli.Katupa chai na ugeni wake tutegemee chai nyingi zaidi
  7. Binti1

    JamiiForums Tanzania Kuna mwenye undani wa Pastor Nick Shaboka na Mkewe Rose Shaboka?

    Na ngozi anajichubua Rose tulosoma nae Mlimani hakua mweupe wa hivyo na mkorogo alikua anauza labda kama ameacha saivi.
  8. Binti1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

    Mbona kauli ya kikatili hivyo? Aisee kuondokewa na mama alipaswa ampende na kumspoil mama mkwe maana ndo mama aliebaki angalau angempa faraja
  9. Binti1

    JamiiForums Tanzania Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

    Mndele wa Kaya huyu
  10. Binti1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena

    Hajakuoa na hajakulipia mahari mnaishi wote....wazazi wamelifumbia tu macho ??? Hamjaanza kuzinguana leo....anafikia hatua ya kukulaza nje unaona sawa??? Na kuna sehemu umeandika ushawahi enda sherehe ukarudi saa moja jioni akakupiga..... Kwa haraka haraka nadhani wewe ndio tatizo. Kuna namna...
  11. Binti1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena

    Alikupigia simu umpelekee funguo ...kwa maana kwamba yeye hakua nazo. Lakini uliporudi ukakuta amejifungia ndani? Au alivunja kitasa akatengeneza usiku huo huo? Mimi ndio sijaelewa au wewe ndio haujaeleweka?
  12. Binti1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What will I Do?

    He doesn't love you. No one is ever too busy for someone they love....put that in your head and move on gracefully.
  13. Binti1

    JamiiForums Tanzania Geita: Mwanafunzi aliyepotea akutwa amefariki dunia pembeni ya mto huku jicho likiwa limetobolewa na nyayo kusagwa

    Ooooh mtoto mzuri what a painful and brutal way to die.Mungu awape faraja ya kudumu wazazi na ndugu zake. Waliofanya ukatili tunawakabidhi pia kwa Mungu ashughulike nao.
  14. Binti1

    JamiiForums Tanzania Kwanini jambo hili ni nadra kulisikia kwa walimu, ila kwa hawa sijui kwanini!

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka jamani.
Back
Top Bottom