Recent content by binti wa kijurya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Ali Kiba alistahili kuchukua tuzo 5 za KTMA?

    Ahaha sawaa kabeba tuzo tano ila ajue amebeba deni kubwa sana la kudhihirisha kuwa amestahili
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua maana ya mtumbuizaji bora wa mwaka

    Nimebaki nimekodoa macho tuu 😳😳😳😳😳 serious kabisaaa. Sawa mpango wao umetimia.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Toa yako itakayokubalika basi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Begi la askofu mgonjwa

    Nina mashaka na hili begi kuna kitu kinaendelea hapa si bure
  5. B

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz amuonyesha baby wake

    Duuuh waswahili hatuna kazi haki. Badala tuwekeane ya maana humu tuepukane na umaskini unaumiza kichwa kujadili life la mtu ambaye hata hakujui humjui. Mbaya zaidi hata kumi huingizi kwa kumjadili. Kila mtu ana maisha yake na kila mtu amechagua jinsi ya kuishi. Mwacheni Lemutuz awe babu awe aje...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Bikra_wa_kisukuma

    Hahahahaaa acha nichekeeee miee. Jamani he is my man na nagombana naye karibia kila siku maana ni kitombi balaaa. Sasa kama unadhani ni shoga fanya haya kainame uthibitishe ushoga wake au la sivyo ushamla au mliliwa wote paamoja ndiyo maana mnasema ni shoga. Shame on u hamna ya maana ya kufikiri...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kale kaharufu una kaondoaje?

    Kazi kweli kweli
Back
Top Bottom