Kuna mtu anasumbuliwa na Tatizo la kukoroma lililo pitiliza... Hii inamkosesha raha hata akiwa amelala na mpenz wake. Jaman ds s seriously msaada plz...!!
Hivi kwanini baadhi ya wanaume wanatabia ya kununanuna kama wanawake ukifanya kidogo tu kanuna ukikosea kidogo tu kanuna, mambo ya hela kanuna khaa.
Jamani kama mpo humu baadhi mmbadilike. Bora mwanamke anune nune kuliko mwanaume.
Imenibidi nicheke na usomi wote umemnunulia zawadi ya chereani hata mm nisingekubali.. NA kama kuna ka bebi kangu kako humu kajue sitakagi zawadi kama izo
Naandika hapa kwa uchungu mimi binti kigoli tabia za wanaume wakirudi nyumbani ni whatsap tu inakera tena zile whatsapp za magroup zile ndoa zinaboa kabisaa Mara nachati wafanyakazi wenzangu Mara nimesomanao eti vidudu, primary, olevel, A level, Chuo kikuu mnakera wanaume kwanini sisi ayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.