Recent content by bint khanga

  1. bint khanga

    Sikujua kama ndio ulikuwa unaniaga na ulikuwa unaenda kufia mikononi mwa mama yako

    Pole sana kaka m/mungu akufanyie wepesi inshaallah kua na subra naamini kipo kitu m/mungu amekundalia[emoji120]
  2. bint khanga

    National Bureau of Statistics (NBS) Temporary Jobs, March 2021- (300 Posts)

    Hii form tunajazaje msaada kwa anaejua yani tuna print nakutuma au tunajazia online?
  3. bint khanga

    Update za kazi za TASAF

    Interview hawajaita bado
  4. bint khanga

    Nahitaji mwanaume wa kuoana naye

    Habari zenu Kama heading inavyoeleza hapo juu Mimi ni mwanamke mwenye umri Wa miaka 30 nahitaji mume aliyekua serious kuhusu kuingia kwenye ndoa not jokes Dini yangu ni Muslim, elimu yangu ni diploma nafanyakazi kwenye private company umri Wa m/ume uanzie 30 above Aliye tayari aje PM for...
  5. bint khanga

    Natafuta mwanamke awe muislam na mcha mungu

    Mbona pm iko private?
  6. bint khanga

    Nini kinasababisha Mtu aakituma Maombi ya kazi asietwe haya kwenye Usaili ?

    Nikweli kwa Mimi naona usipoandika vizuri barua huwezi kuitwa kwenye interview Mimi nilikua ivoivo nikajiuliza nakwama wapi nikaangalia vizuri nini nakosea nikajua kunavitu nilikua sifuatilii kwenye huandishi toka siku iyo kila nikituma maombi lazma niitwe
Back
Top Bottom