Sikujua kama ndio ulikuwa unaniaga na ulikuwa unaenda kufia mikononi mwa mama yako

Kwaniaba yake nashukuru mkuu kwaimani yako
Nimekuwa karibu nae toka mwanzo japo sijafanya pakubwa ila nilishaonana nae ila kikubwa kama angepata kibarua ingemsaidia kumbania mwanae lakini pia bado umri wake nimdogo naamini hum kunawatu wanauhitaji wavijana kuwafanyia kazi ndogondogo wawe naimani nae japo simfaham kiundani lakini sina shaka nae
 
Pole sana kwa sasa uko wap wewe unakoishi?Mimi niko Dodoma kesho nasafiri naelekea Geita kama uko maeneo ya karibu nikusaidie rift kiongozi.
Niko Dar sijajua utaondoka Dodoma saa ngapi nione kama naweza kuja asbh nikakuwahi tuondoke
 
Pole sana.

Japo maelezo hayajitoshelezi kushawishi watu kutoa chochote kitu hasa ukizingatia dunia ya sasa matapeli wana mbinu zao zenye akili sana.
Tulikuwa na ushirika Wa wafanyakazi Wa kata X,ambapo ikiwa mtu angefiwa baba,mama na mtoto/watoto ilipapaswa kuchangiwa 10,000/=tulikuwa kama watumishi 80 kwa Kata mzima,

Madam mmoja baada ya kuona amekuwa mchangiaji mzuri bila ya yeye kufiwa ili bidi aunde mbinu kuwa kafiwa na mama yake,na nikweli mbinu ile ilitiki akachangiwa akapata mpunga Maisha ya kasonga,baadae madam mwenzake waliyehusika naye katika kutengeneza mchongo waligombana na kupelekea kufichua siri,khali ilikuwa mbaya sana.

Ni kweli watu sio Wa kuamini,ikiwa mtu anabuni kufiwa na mama yake mzazi how comes ashindwe kusingizia kifo cha mke wake.?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Huko sahihi sipingani na mtu kuwa na hofu. Ila tunatofautiana. Mungu yupo na anaona na kujua nayopitia.
 
Tulikuwa na ushirika Wa wafanyakazi Wa kata X,ambapo ikiwa mtu angefiwa baba,mama na mtoto/watoto ilipapaswa kuchangiwa 10,000/=tulikuwa kama watumishi 80 kwa Kata mzima,

Madam mmoja baada ya kuona amekuwa mchangiaji mzuri bila ya yeye kufiwa ili bidi aunde mbinu kuwa kafiwa na mama yake,na nikweli mbinu ile ilitiki akachangiwa akapata mpunga Maisha ya kasonga,baadae madam mwenzake waliyehusika naye katika kutengeneza mchongo waligombana na kupelekea kufichua siri,khali ilikuwa mbaya sana.

Ni kweli watu sio Wa kuamini,ikiwa mtu anabuni kufiwa na mama yake mzazi how comes ashindwe kusingizia kifo cha mke wake.?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mm nafikiri kama unahisi huu niutapeli unaacha tu kuliko kuongeza neno mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom