Mtu na elimu yako kwann unga'ang'nie hapo, kwanza ulifanya kosa una mafunzo ya kijeshi mazuri unazubaa mitaani, ulikua pale pale ulipopata mafunxo uingie jeshini badae ungechukua degree kaxini na kupandishwa cheo na mshahara mzuri, nakushangaa sana mtu na elimu yako na ujuzi wako unamrumikia...
Mkuu endapo nitampata huyo dokta wako naomba anisaidie kwa vipimo, no 0777194010, watsap na msg za kawaida cna uwezo wa kusikia asipige, nitaweza kusafiri kuja Daa kwa vipimo inshallah
Mkuu lichadi, nilipatwa na tatizo nikiwa na miaka 16 mwaka2002, nikakatisha masomo wakati huo nasoma kidato cha kwanza, niliumwa macho kwanza nikawa sioni ila siyo kwamba sioni kabisa, wakati huo usikivu ukaanza kupotea polepole kidgo naskia katika harakati za kujitibu nikafanikiwa macho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.