Wale wapenzi wa kuchokonoa masikio kwa kutumia pamba stick na vijiti yaliyonikuta mimi iwe funzo kwenu

Jamani vipi kuhusu Sikio kuunguruma na limepoteza usikivu, haliumi wala kutoa uchafu! Mwaka wa tisa huu
 
Jamani vipi kuhusu Sikio kuunguruma na limepoteza usikivu, haliumi wala kutoa uchafu! Mwaka wa tisa huu
Hapo mkuu hatutakiwi kudanganyana hapo ni kuwaona wataalam tu sio kila kitu tunajua hapa
 
Back
Top Bottom