Recent content by binjum

  1. B

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kutumia gesi kwenye gari lilitongenezwa kutumia petrol

    Na gesi ikiisha njiani utajaza na puto?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Tunasubiri waraka wa wanafiki wa TEC
  3. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote wapita

    Zanzibar ni nchi yenye ma
  4. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote wapita

    Acha ujinga kwani serekali ya mapinduzi haina wafanyakazi?
  5. B

    JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha mikataba na vituo tisa vya kutolea huduma za Afya

    Sheria ya bima hairuhusu mtoaji bima kutoa huduma anayoitolea bima
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya miradi ya BRT DAR msimamizi yupo?

    Yaani hawa jamaa wa kichina wanajenga hovyo tungewapa tu strabag vile vituo kama vibanda vya kufugia njiwa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

    Hiyo bendera ya Egypt sio hiyo ni ya Iraq* 🇪🇬*
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

    Hamna sio wastarsbu kwa sababu dini yenu sio sahihi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Bado sijaelewa jambo moja: Hivi tunataka kuendesha SGR sambamba na reli ya zamani?

    Hapana bana zote zinaweza kutumika kwa ajili ya usafirishaji. Nilipokuwa china wanazo zote hizo na kila mtu anaenda kupanda kutokana na mahitaji yake. Na wao wameenda zao za kwao ni two way.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

    Jiulize hizo za kenya zinatumia umeme? Pia jiulize SGR ya kenya imeishia wapi? Hao wakenya wenyewe wanatushangaa tunavofanywa mazuzu na Kigwa mrupukaji
  11. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Nieleze udini wa Zitto? Acha kuleta ujinga katika mambo serious ya nchi!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nimechelewa basi la RATCO dakika 4 wananilipisha nauli mara mbili

    Hukuona reporting time? 60 min before departure chukua mfano ingekuwa ni ndege ungelalamika?
  13. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

    Bado na wewe unaendelea na Kilevi?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Mtoto wa Miezi Sita Anapata Shida Kupumua Usiku na Uzito Kutoongezeka

    Mpeleke hospital aonwe na daktari bingwa wa watoto
Back
Top Bottom