Recent content by bingoyefrance

  1. bingoyefrance

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Bado hatujasema mpaka tuseme tu amejua kutushikaaaaaaa ila mwana ana bahati ya kupewa Hela daaaah
  2. bingoyefrance

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Watu tunataka Iryn aliwe tena ikiwezekana azagamuliwe hadi asubuhi alafu unasema kuwa unapokea simu mara unamsikiliza Eva daaah imeniuma sana ila ndo hivyo mwanetu Insider hatuwezi kumkataa aendelee kuburudisha
  3. bingoyefrance

    Anataka kusoma Masters ya Education

    Atamzidi mwalimu wa arts kiasi kidogo sana yeye basic salary atalipwa TSH 805,000/= wa arts 771,000/=
  4. bingoyefrance

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mzee mwenzangu wa IHUNGO boys Chura anakusalimia sana pamoja na Rutunda! Anyway tulitisha sana kipindi hicho ila vijana tulikuwa na harakati nyingi wazee wakudrop kashai na Nyamkazi hahahaha Kila bash ujue tupo hahaahahhah
  5. bingoyefrance

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Afande Ng'ombe nakumbuka alikuwa Danger coy!
  6. bingoyefrance

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sisi kipindi tupo 823KJ mwaka 2013 wakati tunamalizia kozi ya miezi minne tuliulizwa anayetaka kujiunga na jeshi baada ya mafunzo ya mujibu tuliandika majina na baada ya kuanza chuo tulipigiwa simu ilikuwa ni 2014 mwezi wa tatu hivi watu wakaunga bogi la TMA
  7. bingoyefrance

    Ajira kukusanya taarifa za mfumo wa anwani Dodoma

    Ukiona ya UVINZA DC unitag mkuu Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
  8. bingoyefrance

    Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

    Baba wa pili wa taifa kivipi yaani? unamaanisha awe baba wa kambo wa taifa au namna gani? Acha ujinga
  9. bingoyefrance

    Digital Education Project Officer at Save the Children

    Hivi hawa Save the Children walishaita watu au mimi ambaye sijaona chochote kwa email nijue imeisha hiyo? Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
  10. bingoyefrance

    Digital Education Project Officer at Save the Children

    ila kwakweli ni changamoto sana, nimeomba sijui itakuwaje Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
  11. bingoyefrance

    Digital Education Project Officer at Save the Children

    Kwanini mkuu wana urasimu kwenye kuajiri? Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
  12. bingoyefrance

    Digital Education Project Officer at Save the Children

    Hivi unaweza kuomba ukapata kweli kwenye hizi NGO? Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom