Ajira kukusanya taarifa za mfumo wa anwani Dodoma

Ajira kukusanya taarifa za mfumo wa anwani Dodoma

MshikjiFlaniHivii

Senior Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
117
Reaction score
339
Wale tulikua tunasubiri zamu ya dodoma imefika, ila ni watu 100 tu[emoji24]
IMG-20220221-WA0004.jpg
IMG-20220221-WA0003.jpg

IMG-20220221-WA0004.jpg
 
Hii halmashauri ya jiji..
nahisi zipo halmashauri za manispaa
maana hata Dar zilitoka za manispaa na jiji pia

za jiji walitaka watu 250 tu kwa siku 60 na mshahara 450k
 
Naona hapo kutoboa hadi uwe na connection Watu wachache hivyo duh.
 
Hii halmashauri ya jiji..
nahisi zipo halmashauri za manispaa
maana hata Dar zilitoka za manispaa na jiji pia

za jiji walitaka watu 250 tu kwa siku 60 na mshahara 450k
Wametupora 15k yetu tusaidiane watakao pata wapate haki yao,sehemu zingine ji 30k kwa siku
 
Kuna baadhi ya wilaya wnasema hizi nafasi ni kujitolea hakuna malipo.Nilikuwa nimeomba nikapiga chini.!
 
Zitakua zimejaa kabla ya kutangazwa.Nawaza kwa sauti.
 
Back
Top Bottom