Recent content by Binamu Bananga

  1. Binamu Bananga

    JamiiForums Tanzania Hawa viongozi wa CHADEMA ni tatizo kubwa

    Maneno yako yana ukweli mwingi sana. Nimekaa hapo kwa siku 8, nimeyaona. Uongozi una udhaifu na Mwigulu anautumia. Pamoja na kwamba hapa si mahali sahihi kuleta malalamiko ya ndani LAKINI NAMUUNGA MKONO MTOA MADA kwa kuwa inawezekana yeye hana nafasi ya uongozi hivyo hana pa kupeleka...
  2. Binamu Bananga

    JamiiForums Tanzania CCM Arusha kuwafukuza madiwani wake wanne leo

    Hawana ubavu wa kuwafukuza madiwani, nani atawaokoa na 4-0 tena?
  3. Binamu Bananga

    JamiiForums Tanzania Picha yangu ya leo asubuhi hii hapa

    wakubwa wanafaidi jamani. wengine mtaishia kupelekwa iramba na mikoani na kujazwa zygote, saa ya kwenda mamtoni hamjui, hamhusiki maana mnanuka jasho kuna vitu maalum huko vinawasubiri. POLENI!
  4. Binamu Bananga

    JamiiForums Tanzania CCM wacharuka,sasa ni mguu kwa mguu kumkaba kamanda Mawazo na timu yake

    kapteeeeeiiiiiinnnnn mawazo!
  5. Binamu Bananga

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa CCM wakimbia kikao Arusha

    alwayz i do trust on SPORA LIANA. Ni aina bora ya wakurugenzi waadilifu wachache tulionao tanzania. yule mbunge wa bahi omari badwel anamtambua jinsi alivyomdakisha rushwa. ARUSHA MOTO HALMASHAURI NDO UNAWAKA, NA BADO HATUJAONGEZA KITI CHA SOMBETINI, maana hata mungu hawezi kuwasaidia ccm kukipata
  6. Binamu Bananga

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lema Anena ya Moyoni

    lema THE GREAT!
  7. Binamu Bananga

    JamiiForums Tanzania Wabunge Hawa Hawakustahili Kuwa CCM ni bora wakafikiria kwa kina 2015

    mpina wa kisesa, kangi lugola wa mwibara, ally kessy wa nkasi, fulikunjombe wa ludewa, ester bulaya vt maalum WAMEPANDA MELI WASIYOJUA IENDEKO. FOR POLITICAL STABILITY huko waliko siko na DALILI NYINGI zinaonyesha wana vitabia tofauti na wenzao wa huko. WAJE KIUMENI!
  8. Binamu Bananga

    JamiiForums Tanzania Lukuvi akwepa mdahalo na Lissu

    lukuvi kaogopa aibu kama iliyompata ndugai alipokutana na mnyika. MACCM HATA YAWE 30 HAWAMUWEZI KAMANDA YEYOTE WA CHADEMA. MACCM YOTE CHENGA CHENGA TU!
  9. Binamu Bananga

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    hayaitwi madawa ya kulevya, inaitwa KEMIKALI. Ukijuana wa wakubwa hufungwi unatozwa faini.
  10. Binamu Bananga

    JamiiForums Tanzania Aliyemtoa Dr Slaa CCM afunguka - atoa ushauri mzito kwa Watanzania

    DR SLAA ni SUPER BRAND!
  11. Binamu Bananga

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uchaguzi CHADEMA utafanyika baada kuwa na chama imara

    uchaguzi wa chama unaendelea sasa ktk ngazi za misingi, wakufunzi wa CHADEMA NI MSINGI wamepata mafunzo na wanaendelea kuijenga chadema kwa kufanya uchaguzi wa mabalozi na misingi. then tunaelekea matawini, kata, jimbo, wilaya, mkoa na finally taifa. WE ARE TOO SYSTEMATIC!
Back
Top Bottom