Wadau wa azam tv naomba kujuzwa nikiwa ni mfuatiliaji wa vpindi vya azam tv haswa Azam spot 2 naonaga marejeo ya mechi zilizopita zikirudiwa mara nyingi lakini mechi ya Azam na Cosmo Pollitans kombe la shirikisho hii imevunja rekodi ndani mwezi mmoja imesharudiwa kuonyeswa kama mara sita nahivi...
Nimeona jana kwenye blog ya binzubeiry Msuva akikanusha hiyo habari anasema hamna hiyo kitu naajui habari hizo zimetokea wapi ajakua mchezaji bora wa mwezi ni habari za kizushi
Kweli imefikia Tanzania tunashangilia medali shaba tumekua ni comoro daah kukosa mafanikio Kwa muda mrefu tumegeuka mafala
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona kwa blog ya bin zubeiry Hamid mao yuko kwenye msafara na timu ya azam wako kambi Kampala roho mbaya ya azamsimba kuikomoa yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.