Recent content by Bina msafi

  1. B

    Ushauri: Je, ajenge nyumba au aweke pesa fixed deposit CRDB kwa riba ya 7%?

    Apige mahesabu kwamba akijenga nyumba za kupanga kwa mwaka ataingiza sh ngapi. Kisha aangalie hiyo riba ya asilimia 7 ni sh ngapi kwa mwaka. Kisha alinganishe hizo faida mbili ni ipi inamlipa zaidi kisha aifuate iyo itakayomlipa zaidi.. very simple mathematics. Ila kwa ushauri ajenge tu nyumba...
  2. B

    Mtu gani alisababisha upate kazi?

    Me namshukuru mdau mmoja wa hapa hapa jamii forum. Alinikonekti na kazi ya kuwa cashier mahali fulani. Hadi sasa nafanya kazi hii hadi nitakapofikia muda wa kujifungua. Kipindi cha miezi ilopita kidogo Niliwahi kuweka tangazo la kuhitaji kazi hapa jf. Na niliweka tangazo nikiwa na stress za...
  3. B

    Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

    Tofauti hapo ni ipi?hao wote wako kwenye kazi moja hakuna kuficha ukweli wa mambo uchawi umegawanyika na hilo la kuabudu mizimu ni kipengele kimojawapo cha uchawi. Kama mtu anaweza kumtoa mtu kwa kafara ya kulisha mizimu inywe damu ya binadamu huo sio uchawi jamani au me ndio sielewi...
  4. B

    Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

    Mizimu inayoabudiwa na wachaga ni uchawi tosha. Waganga wapo ndani ya familia na ukoo. Ukihitaji kufanya tambiko la kafara unamtafuta mzee wa mila. Hawa wazee wa mila ndio waganga wenyewe.. Me ni mchaga nakuambia uhalisia
  5. B

    Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

    Aliyekuambia wachaga sio wachawi ni nani. Kwani kutambika na kutoa sadaka za damu za mbuzi kuku na ngombe.. kumwaga ulezi na maziwa kupeana kwa mizimu ya mababu wiokufa zamani kila mwisho wa mwaka kuna tofauti gani na uchawi. Tena bora uchawi mwingine lakini sio huo wa kutambikia mizimu. Ndio...
  6. B

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession: Sociologist & Political scientist Experience : 6 years working with community programs, such as orphan and vulnerable children and HIV/AIDs programs and special groups interventions like disabled group etc (work with international and local NGOs) Education level: Bachelor degree in...
  7. B

    Wanaume wanaotelekeza watoto ni janga kubwa nchini kwa sasa

    Sheria pia zipo wadada wengi hawajui kama kuna utaratibu wa kwenda kudai stahiki zao ustawi wa jamii na vyombo vya sheria za kulinda haki za watoto. tuhamasishane. Hii tabia ya kutelekeza watoto ikomeshwe..
  8. B

    Mliowahi kupata wanawake/wanaume Jamii Forums, mje kutoa ushuhuda hapa ili na sisi tunaotafuta tupate morali ya kutafuta zaidi

    Nalia acha nikwambie. Huku nimewai kuchati na mtu PM mwenye ID sita. Wengi huku ni matapeli na wengi ni wake na waume za watu wanatafuta michepuko tu ya kufanya uzinzi na uasherati. (Nisinukuluwe vibaya sio wote ila wengi wao) Ni wachache sana wanatafuta kweli... hayo ni machache niliyoyaona...
  9. B

    Mke/Mchumba anahitajika

    Ushauri wangu kwa wadada huku jf kuweni makini. Wapo wadada nina ushuhuda wao wamedungwa mimba na wanaume wa humu jf na wametelekezwa. Kila mmoja awe makini watu humu kuna watu na viatu .....
  10. B

    Haya maneno yamenichoma sana na kujiona sina thamani katika hii Dunia

    Usiruhusu moyo uuendeshe mwili wako. Tumia Ubongo... inawezekana alikuja kwako kwa maslahi fulani alipoona tarajio lake sio kama alivyopanga sasa anataka aondoke.. zingatia haya maneno yangu utakuja kunishukuru siku moja...
  11. B

    Mke/Mchumba anahitajika

    Kaka Engener kila la heri utampata mwenza ila uwe makini kaka Hapa jf kuna matapeli kama wote. Kuna wadada na wakaka ni matapeli huku hatari. Nilikutana na mwingine anasema yeye ni injinia kumbe kiuhalisia ni daktari wa wanadamu halafu tapeli ile mbaya anataka kulelewa.... kila siku vibomu vya...
  12. B

    Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

    Hizi attachment hazifunguki kiongozi
  13. B

    Natafuta Mume

    Ahaaa kumbe tena kuna Mambo ya kuunganishwa tena
Back
Top Bottom