Ooh pole mkuu,,,,,halafu Huwa kuna wengine anaweza kuja kuazima Elfu moja anakwambia nakurudishia nikipata change halafu anakauka,,me kuna mdada tumepanga nae hapa napoishi aliniazima hivyo amekausha mpaka sasa anajua la willbda nimesahau,,,,namsubiri tu siku akiingia namkumbusha.