Inaon
Inaonekana na wewe ni mhusika..
Usituhadae kwamba umefuatilia yaani wewe kuwa unawafuatilia watekaji?
Huwa unawafaitilia ili iweje?
Huna kazi mpaka uwe unawafatilia hao wauaji halafu ufuatiliaji wako ukawa hauna msaada wowote kwa wananchi?
Haya tuambie mechi ya 10 ulivofatilia nani atatekwa?
Katika ya hao waungu wawili uliotaja
Huyu anaembagua mtu mweusi mwenzio na wewe hapa ni mfuasi wa Mungu yupi?
Kama Mungu wake ndo anafundisha awabague nyie weusi itoshe kusema ni haki muitwe KONDOO
Huyo Mungu wenu mbona wa ajabu hivi!
Yaani kaumba mataifa yote halafu akachagua wayahudi taifa teule?
Kwahiyo mbele ya Mungu wayahudi ni bora kuliko nyie mataifa mengine?
Mwanangu huyo mwanamke kakuwin ameshakujua wewe mdhaifu tafadhali usioe.
Mwanangu moyo wa kuoa bado usioe kwanza jitahidi upigwe pigwe matukio ili moyo ukomae kwanza
Hivo ukikomaa itakusaidia mwenyewe kujua mtu wa kuoa bila hata ushauri.
Kitendo cha kumkuta sehemu ambapo yeye alikwambia hatoki...
Sasa ndugu yangu mfano zamani watu kuvamia benki ilikuwa rahisi hata namna ya kutoroka na kutoonekana.
Dunia imebadilika kwa sasa kwanza uwepo na kamera kisha uwepo wa mawasilianao ya haraka simu na uwazi wa barabara..
Leo hii ukiiba wakati unafanya tukio tayari umeonekana hivo ni rahisi...
Hivi nyie watu mtapevuka lini?
Mbona bado mnaandika mambo ya watu yasiyowahusu..
Hivi bila ya ukoloni mngekuwaje wakristo au waislam?
Mtashikiwa akili mpaka lini?
Hata unachoandika hukielewi umejikopia tu.
Katika uislam kuna elimu juu ya hadithi/masimulizi ya mtume.
Kuna hadithi sahihi
Kuna hadithi hassana
Kuna hadithi dhaifu.
Unachoandika wewe ni dhaifu uzushi
Katika sheria ya kiislam ni haramu mwanamke kukeketwa
Soma kitabu FIQIH SUNNA.
Uislam sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.