na wapinzani 2020 watapoteza sana majimbo kwakutoonewa na tume ya uchaguzi, kwanza wameshapoteza mvuto na wameonekana ni wababaishaji tu na matapeli tu.
hata akihutubia wapi hawezi zuia serikali yetu kuongoza na kuendeleza kutimiza ahadi za maendeleo kwa wananchi yake, huyo ni kibaraka wa wazungu wanamtumia watapochoka wataachana nae, wanamuona mjinga tu.
Serikali ya Zanzibar imewaonya watu ili waache tabia ya kuwabugudhi na kuwanyanyasa watalii wanaotetembelea visiwa hivyo.
Onyo hilo limetolewa na Seif Idd, Makamu wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati wa kuahirisha kikao cha Baraza la Mwakilishi, ambapo alisema "Unyanyasaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.