habari wana jamii
nauza laptop yangu nilotumia kwa mda wa mwezi mmoja. aina ya dell
specification RAM 2GB, HARD DISK 160GB, SPEED 2.5, WALANTEE YA MWAKA 1. nakila kitu unapewa kama charger na wireless mouth
bei 250,000/=
nipo dar, mbezi
kwa mawasiliano 0676 488 955
kwa mkoani nakutumia