Home tution

Home tution

Amani Ndoroma

Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
71
Reaction score
21
Habari, Naitwa Aman, ni mwalimu nikiyebibea na kufundisha watoto was shule za msingi, na Kwa masomo ya history ,geography ,civic, Kwa level za O'level na Economic Kwa level za Advance,napatikana Tegeta ,nahii ni fursa nzuri Kwa wakazi wote was Tegeta na vitogoji vyake kunitymia. Kwa mawasiliani zaidi 0688145923.asante
 
Mwalimu umemaliza chuo gan,, teaching subject n masomo yap uliyosomea chuo,, gpa ngap??? Tuanzie apoo
 
sasa wewe GPA itakusaidia nini mbona mnakua wanafiki unaweza nambia mwalimu wako wa olevel ulikua unajua gpa yake acha unafki
 
Back
Top Bottom