Recent content by Billy_1225

  1. Billy_1225

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa wimbi la wanafunzi kufanya udanganyifu kwenye mitihani vyuoni?

    Mitihani ifutwe itafutwe njia nyingine itakayokuwa rafiki na kuongeza ubunifu kwa wanafunzi, kwani hata hiyo mitihani inawafanya waone GPA kubwa kama ndio major goal na siyo skills, unakuta mtu ana A ya somo ambayo kwenye field hana input inayofanania A yake au GPA yake.
  2. Billy_1225

    JamiiForums Tanzania Madhara Ya Kula Mayai Yasipoiva Vizuri Kwa Afya

    so ya kisasa tuu ndugu!! ndo maana mila zetu hapo zamani wanawake hasa wajawazito hawakulusiwa kula mayaoli
  3. Billy_1225

    JamiiForums Tanzania Madhara Ya Kula Mayai Yasipoiva Vizuri Kwa Afya

    ndo usome vizuri nini kina shida kwenye hayo mayai yote !!
  4. Billy_1225

    JamiiForums Tanzania Madhara Ya Kula Mayai Yasipoiva Vizuri Kwa Afya

    Madhara Ya Kula Mayai Yasipoiva Vizuri Kwa Afya Madhara Ya Kula Mayai Yasipoiva Vizuri Kwa Afya - MUUNGWANA BLOG
  5. Billy_1225

    JamiiForums Tanzania Hawa kuku wa Malawi wanakula sana, watanifilisi

    naam piah waweza badilishia mazingira usiku wazoee giza kwani hawato kula na watakua wanapumzika tuu
Back
Top Bottom