Recent content by Billy0403

  1. B

    JamiiForums Tanzania Quran ilizibadilisha kabisa stori zote za Biblia!

    Miungu watatu how?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mungu ameniambia nitakuwa Mtanzania wa kwanza kuanzisha dini mpya kabisa itakayoendana na kila kitu na itadumu milele na milele

    Basi naomba kukuacha boss, kama biblia iko nyuma kwa upande wako siwezi kukubaliana na wewe hata kidogo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hata mimi nakubaliana huyu mchungaji

    Uzuri Biblia ina kila kitu ndugu hata ukisoma 1Wakorontho 7, ukisoma yote inaopata vizuri, ni mume mmoja na mke mmoja
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mungu ameniambia nitakuwa Mtanzania wa kwanza kuanzisha dini mpya kabisa itakayoendana na kila kitu na itadumu milele na milele

    Yesu kabla hajaja duniani alitabiri wa na manabii ikiwemo Isaya (Isaya 9:6), hata Yohana alitabiri wa kwa huduma yake na Isaya pamoja na nabii Malaki (Malaki 3) Je una huduma gani ambayo inahitajika kuja kwa wakati huu kulingana na maandiko ya biblia? Kwa sababu kwa namna yoyote ile, kitabu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hata mimi nakubaliana huyu mchungaji

    Yes, nina uhakika ukisoma Mwanzo 23 Sara amefariki, Mwanzo 24 Ibrahim anamuagiza Eliezeri kumtakia Isaka mke, then Mwanzo 25 Ibrahim anamuoa Ketura So ilikuwa baada ya Sara kufa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa, Netanyahu 53 seats. Eisenkot 48 seats, na Vyama vya waarabu 19 seats

    Kwa hali ilivyo hata akija waziri Mkuu gani ila lengo kuu ni kujenga hekalu la Sulemani ulipo msikiti wa Al sasa, so bado kazi ipo sio kwamba Israel wameanza vita na palestina leo, waliopigana tangu enzi ya kina Samson
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hata mimi nakubaliana huyu mchungaji

    Ibrahim alioa baada ya Sara kufa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mungu ameniambia nitakuwa Mtanzania wa kwanza kuanzisha dini mpya kabisa itakayoendana na kila kitu na itadumu milele na milele

    Nimesoma kwa makini uzi huu Napenda kusema tu kwamba sio kila maoni inayoweza kuyapata ni Mungu, na nikwa sababu hata shetani naye ana uwezo wa kumuonesha mambo kama hayo, (shetani aliweza kumchukua hadi Yesu na kupandisha juu kumuonesha falme zote za dunia Mathayo 4) Pia alishawahi kumtokea...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia

    Huo ndio uhalisia, ni kwamba Israel wanahitaji je ardhi na kuondoa msikiti
  10. B

    JamiiForums Tanzania Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

    Sawa kuna ushawishi wa wanaume lakini ni lazima mwanamme aweze kujisimamia kukataa kushawishiwa kwa sababu yeye ndiye anayetoa gap kwa mwanaume amshawishi hasa pale anapokubali kuendelea kumsikiliza na anajua lengo la mwanaume huyo ni lipi Lakini pia malezi ndo imekuwa changamoto kubwa sana kwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wanapenda watoto wakae Boarding, Wakati hapafai kwa sasa?

    Kwa uhalisia ni kwamba mtoto akiwa chini ya miaka 14 inafaa apate uangalizi wa wazazi kwa karibu na ndo muda anaweza kujifunza maadili atakayoyaishi ukubwani, boarding ingefaa baada ya umri huo Ila watoto kutokuwa na muda wa kutosha na wazazi ndo kizazi kijacho kinapotea
Back
Top Bottom