Atoe kitabu cha kazi gani wakati ameshasimulia hapa.Watu hawatonunua maana wanaijua stori,ya nini kuirudia.
Akitaka apate pesa kwenye hii stori aishie hapa kusimulia,halafu aandae softcopy ya kipande kilichobaki/full stori auze.Mwenye uhitaji analipia kiasi fulani anatumiwa.
Kwa benki au taasisi nyinginezo za kifedha ukiwa na hati ni rahisi kupewa mkopo.Huwa mara nyingi wanapendelea mali isiyohamishika ambapo hii inahusisha nyumba au kiwanja.
Baada ya kujaza form za maombi ya mkopo,watafanya uthamini wa nyumba/kiwanja chenye hati husika kwa ajili ya dhamana.
Baada...
Utabiri(Horoscope)ni kitu tofauti kidogo na Unajimu( Astrology ).Japo utabiri ni sehemu ya unajimu lakini ni kitu kingine.
Ila hapa kinachoongelewa ni Nature,vitu kama vilivyo na wala sio utabiri.
Mbuzi na Chui hawakai pamoja (hio ni nature).
Siku moja Mbuzi na Chui wataweza kukaa pamoja(Huo...
Sikuwa na lengo baya.Ila nmejaribu kusema vitu kama vilivyo.Sio utabiri ila ni nature.
Ni kama kusema mbuzi na chui wanaweza kuishi sehemu moja.Nature haiwarusuhu wakae pamoja ila ukiwaona wamekaa pamoja ujue mda wowote mambo yatakua tofauti
Nyota ukianza kuingia deep sana ndio inaweza kukufanya ukakufuru.
Tumia nyota kukupa muongozo tu wa maisha mengine achana nayo.Itakuongoza umuoe nani,ufanye shughuli gani na namna ya kuishi baada ya kugundua madhaifu yako.
Mengineyo achana nayo
Itakua alikuaambia ukweli.
Wanawake wengi hasa hasa hawa mabinti wa kileo huwa wanafatilia hivi vitu vya nyota.
Ukifatilia vizuri utangundua wengi kwenye Bio zao za Instagram wameweka Zodiac Sign zao na tarehe zao za kuzaliwa.
Mara nyingi ambayo ina mashiko sana ni Sun sign (tarehe ya kuzaliwa).Jua huwa linazingatiwa sana maana ndio mhimili wa Astrology.
Hivyo vingine inabidi uende deep sana.Ukijua umezaliwa saa ngapi na mahali gani ndo unaweza kujua hizo rising sign na sayari nyingine zinakuangukia kwenye nyota ipi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.