Recent content by billmood

  1. B

    Je, ni kweli muislamu akibadilisha dini adhabu yake ni kifo?

    Umejibu hoja Kisomi sana.ila huku hawaji
  2. B

    Je, ni kwa nini Mungu aliamua kubadili ahadi yake kwa waumini wake kwenye Quran?

    InguMbM Mbinguni ni either MTU uende kwenye jahanam (full mateso) au peponi (starehe au kula Bata) ambayo ni raha ya milele. Raha ya milele ya kwenu ni kuimba kucheza na kufutwa machozi yaani hapo unahisi starehe imekamilika? Yaani leo ukiamua kufanya starehe kubwa utaimba nakucheza tu...
  3. B

    Freeman Mbowe aingia Kanda ya Kusini, ni katika Mkakati unaondelea wa Operesheni Haki

    2015 kura M8 vs M6. 2020 kura mi12 vs m2. Hilo anguko unakionaje. Bado tu mnadanganywa na umati, kumbuka kura ni Siri. Ukitegemea hizo picha hamtaacha kujipamoyo kuwa mmeibiwa.
  4. B

    Utandawazi wa Siasa: Alianza Tundu Lissu, akafuata Trump, sasa Bobi Wine kupinga matokeo bila ushahidi

    Mbona Hadi we unapingana na lisu maana ye anadai kura hazikuisabiwa nchi mzima Bali matokeo yalitangzwa tu we untuambia polisi wakidumbukiza
  5. B

    Freeman Mbowe aingia Kanda ya Kusini, ni katika Mkakati unaondelea wa Operesheni Haki

    Kwnn isiwezekane ubunge anshinda kwa wingi wa kura na si asilimia za kura inawezekana hata kukosa kabisa. Imagine kila Jimbo uzidiwe hata kura mojamoja unaweza ukawa na kura nyingi kwa hesabu lakini usiwe na mbunge hata mmoja. Sasa kutoka kura m6 Hadi 2 hapo mnapanda au kushuka?
  6. B

    Freeman Mbowe aingia Kanda ya Kusini, ni katika Mkakati unaondelea wa Operesheni Haki

    Unataka kifo Mara ngapi, kuwa na mbunge mmoja bungeni ni kifo tosha
  7. B

    Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

    Hapa ninyi mnafaidikaje au namna tu kumkosesha risk mtanzania mwenzenu. Hatukuyatygemea Kama mtakuwa watu wa vusasi namna hii.
  8. B

    Rais Samia, huu wizi wa Tsh Bil. 3.4 kwa Mwaka wa wabunge 19 utaufumbia macho?

    So unataka na huyu aingilie maamuzi ya bunge?
  9. B

    Rais Samia, huu wizi wa Tsh Bil. 3.4 kwa Mwaka wa wabunge 19 utaufumbia macho?

    So mnataka aingilie ili mseme amevunja katiba
  10. B

    Rais Samia, huu wizi wa Tsh Bil. 3.4 kwa Mwaka wa wabunge 19 utaufumbia macho?

    Hivi rais anaruhusiwa kuingilia maamuz ya bunge
  11. B

    Makosa ya hayati Rais Magufuli ambayo Rais Samia lazima ayaepuke kama ukoma

    Hivi Nani anawamini tena? Kama mlituhumu lowasa miaka nenda Rudi kuwa yeye ni fisadi baadaye mkaja mkamsafisha wenyewe, mkaandaa list of shame mkaifuta wenyewe, hivi iktokea 2025 lowasa akagombea uraisi kupitia ccm mtakuja tuhuma gani tena, huyu jamaa ameondoka ngoja tusubiri tuhuma za watu...
  12. B

    Kujenga miundombinu na kuruhusu wamachinga wasibughudhiwe ndio kusema kunafuta madoa ya utawala wa hayati Magufuli?

    Awamu ipi ilikuwa takatifu ambayo haijawai kutesa Wala kupoteza mtu Hilo ndo swali langu. Halafu hata hao unasema wameteswa na kutekwa hebu waorodheshe tujue hata idadi yao. Si ajabu wasifke hata10 na bado hatuna ushahidi wa aliyewatesa au kuwateka, ni tuhuma tu.
  13. B

    Kujenga miundombinu na kuruhusu wamachinga wasibughudhiwe ndio kusema kunafuta madoa ya utawala wa hayati Magufuli?

    Kuwa na Deni nalo ni kosa? wewe mwenyewe una madeni kibao so hayo ni makosa
  14. B

    Kujenga miundombinu na kuruhusu wamachinga wasibughudhiwe ndio kusema kunafuta madoa ya utawala wa hayati Magufuli?

    Jibu hoja. nchi ipi takatifu au awmu ipi ni takatifu usikimbilie matus
Back
Top Bottom