Jaman nataka kuwekeza ktk bodaboda ,
Nataka kuweka bodaboda mbili ktk kila jiji yaan Mwanza ,Dar es salaam, Arusha, Tanga na Mbeya napanga malipo ya kila siku yawe 10,000/= au 8000/= . lakn naweka option kwa marejesho ya 10,000 /= kila siku ni miez 12 tu kisha pikipiki namwachia dereva...