Recent content by billgate

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais asipofanya haya, ataendelea kukopa mpaka mwisho wa Utawala wake

    Makubwa kumbe wafanyakazi hewa wamerudi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto hakuwepo Mahakamani wakati Uamuzi wa Kesi ya Mbowe ukisomwa?

    Nimecheka hapo kwenye waha wanafiki sio wote bwana wengine ni watu wema
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

    HANA NAULI PERIOD ANAJITETEA TU
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

    Hahahahajahahah nilitaka kuandika ivo umeniwahi....Mungu wetu sote
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba una majibu mepesi, Mawaziri wote hubanwa kwenye utendaji. Jibu maswali ya Kamati ya Nishati

    Haya ndio madhara ya vyeo vya kupewa kwa kupendelea na kujuana😕 Yani nimemsikiliza bungeni nikasikitika sana ni kama anajibu mahasidi wake na sio kujibu kwa kutatua changamoto mbaya ya umeme inayoendelea nchini😕
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Makamba akijaribu kutisha wabunge kwa kutumia jina la 'Rais Samia' badala ya kueleza udhaifu wake

    Tatizo la kuwapa vyeo vijana wa kiswahili walojaa upashkuna haya mambo ndio mana Rais pendwa JPM alikuwa hayataki eti kisa baba alikuwa sijui nani😕
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi January Makamba Waziri wa ovyo kuwahi kutokea kwenye sekta ya Nishati

    Hakika imemshinda kwanza ana majibu ya hovyo anajibu kimajungu majungu kitu ambacho kama kiongozi hapaswi kufanya hiyo na kinachomponza ni kiongozi wa mitandao halafu anaonekana chief hangaya ni mtu wake kwa hiyo hatumtishi na hatuwezi kumfanya chochote. katika sababu zote alizowahi kuzisema...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wahusika mko wapi hadi hali imekuwa hivi hapa Mbezi?

    Wawapige moto
  9. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga Shule Maalum za Sayansi kwa wasichana pekee imekaaje?

    Huu ni ujinga tupaze sauti
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mshituko: Hotuba za hayati Magufuli zinaweza kuja kutumika kuiondoa CCM madarakani

    JPM the irreplaceable
  11. B

    JamiiForums Tanzania Haya Maendeleo makubwa Kisarawe chini ya Mkuu wa Wilaya Nikki wa Pili yanatisha

    Naona mwandishi katoa neno genius kwenye uzi hahhahhah tukisema ni niki mwenyewe tunamaanisha vyeo vitapatikana kwa shida hahhahah
Back
Top Bottom