Recent content by Bill9

  1. Bill9

    Vijana wa miaka 25 kuendelea mnaongoza kuwapa Presha wazazi wenu

    Akili za mbayuwayu changanya na zako ,kuwa makini na maneno ya kuambiwa kijana , haya maneno ya mitandaon yanafanyaga kijana shame kwao bila hata kuwa na direction akifika mjini anakaa veto Moja mtu 5 kula kwa shida na bado hatoboi
  2. Bill9

    Kitendo cha gari la Mkuu wa Mkoa Mara kugongeshwa na mtoto wa dereva ni dhahiri agizo la Waziri Mkuu lilipuuzwa

    Are you me? ,is me you?, is you me?mm ndo nakwambia jinsi nilivolelewa sasa unabishana na min kwan ulikuwepo kwenye familia yetu?
  3. Bill9

    Shinikizo la damu ladaiwa kusababisha kifo cha askari aliyefumania

    Kafaulu mitihani ya jeshini kashindwa wa mapenzi RIp soja
  4. Bill9

    Kitendo cha gari la Mkuu wa Mkoa Mara kugongeshwa na mtoto wa dereva ni dhahiri agizo la Waziri Mkuu lilipuuzwa

    Dogo nae fuckin kulea mitoto kindez ndez matokeo ndo hayo inatakiwa watoto wamuogope baba mfano hili gar la baba,hiki chumba cha baba hili kochi la baba
  5. Bill9

    Wakaka ikikutokea hali hii utachukua uamuzi gani

    Hakuna rafiki wala adui wa kudumu maishani kitu pekee cha kudumu ni maslahi ingekuwa yeye si angekuacha
  6. Bill9

    Ngoma kali za mapenzi zilizopata kutokea katika Bongo fleva

    Nimekusamehe mpenzi ,buibui Mawazo,buibui Inatosha,msanii Mpya Siku kama hiz,tid Nyimbo za Alice kela Ommydimpo kajiandae mwanafaa , ft kiba siikumbuki jima Diamond, ukimuona Benipol Pete Alikiba maumivu Kasim mchawi, awena Switcher baby your my
  7. Bill9

    Utamjuaje mtoto wa kusingiziwa

    Anzisha ugomvi na mkeo mtukane matusi mwambie we in gogo tu kitandani, kama mtoto si wako utamsikia tu ataropoka kuwa we mwenyewe hamna kitu nakuvumilia tu kwanza ata flani so mtoto wako kinachofanyika hapo unakuwa umemtoa kwenye conscious mind ,umemfanyia confrontation Ku uncover the truth...
  8. Bill9

    Zaeni watoto wengi kwa faraja ya uzee wako

    Ndo mawazo yetu Africa badala tuwaze kuanzisha centre za kulea wazee,tunawaza kuzaa watoto wengi ili watusaidie uzeeni, haya imagine ukiwa Mzee mwanao yupo kazin watoto boarding school unaachwa na house girl hyo furaha utaipata wap si bora ungekuwa center na wazee wenzako mnadiscus tu enz za...
  9. Bill9

    Humu ndani hutakosa gumbo la Kongo

    Kwn kutumia vumbi la Congo ni kosa? Au nyie ndo wale mnaoamini kila tajiri ni fisadi
Back
Top Bottom