Recent content by Bilionea

  1. B

    Naomba Ushauri

    Asante brother Kipanga. Lakini siamini kama kuuliza ni kuchemka. Ndio maana ninaamini hii forum maana najua kuna ushauri mzuri tena anonymously bila mtu kujua wala kujali wewe ni nani na umetoka wapi. Mimi ndugu yangu sijarukaruka ila naamini binadamu kabla ya kuchukua hatua kubwa, inabidi...
  2. B

    Naomba Ushauri

    Bimkubwa, you have no idea the kind of boost you gave my morale. You are the first person to explicitly tell me that you can secure a position based on your qualifications back home. Anybody and everybody I talk to with the exception of my immediate family contends that it’s virtually...
  3. B

    Naomba Ushauri

    Nashukuru ndugu, nadhani itabidi nifikirie kijasirimali zaidi ya kiajiriwa.
  4. B

    Naomba Ushauri

    My status is pending. Wameniita interview in three weeks lakini ndio mwanamke anavisa kichizi mazee. Yaani nikianza kusimulia itakua issue. Hata kwenda kwa wajomba hataki tena bila mkwanja zaidi. A position that I'm not able to accomodate.
  5. B

    Naomba Ushauri

    Asante ndugu, maana naona hiyo ndio plan nyingine. Kama nitakosa ajira atleast nina business plan kadhaa kwa nchi yetu ninazojua zitaitika lakini mambo ya mkopo ndio mpaka nyumba naambiwa.
  6. B

    Naomba Ushauri

    Nashukuru sana mawazo yako. Tatizo kwetu mimi pekee ndio wananitegemea kwa kila kitu na nilikua naambiwa toka mdogo kua elimu ndio ufunguo wa maisha. Don't get me wrong, I still believe that. I just expected that after all those sleepless nights after 12 hour shifts and graduating Summa cum...
  7. B

    Naomba Ushauri

    Ningekua na hao magodfather ndugu yangu hata ushauri nisinge omba. Ningekusanya nauli tu ya kurudi nyumbani. My situation is really fucked. This is one hell of a predicament. The sacrifices that I had to go through all in the hope that I just might see the light at the end of the tunnel...
  8. B

    Naomba Ushauri

    Jamani naomba ushauri. Mimi ni kijana mdogo tu. Nilikuja Marekani kwa taabu sana mwaka 2000 na kwa kudra za mwenyezi mungu niliweza kumaliza shule baada ya miaka nane. Sio kua masomo yalinishinda ila mambo ya fedha. Semester hii nimeingia, inayofuata inabidi nikusanye ada. Nashukuru...
  9. B

    Hawa Voda Vipi?

    mara ya nne sasa anapokea mtu nadhani anaongea kihindi tu for some reason! Na hizi ni namba nne different za Voda!
  10. B

    Hawa Voda Vipi?

    Kweli nimechemsha mzee, niko Marekani na nilikua najaribu simu toka jana mpaka leo hii sasa ni takribani saa nane na robo eastern time.
  11. B

    Hawa Voda Vipi?

    Nimejaribu sana kupiga simu leo bongo lakini kwa bahati mbaya siwapati jamaa zangu wote na cha kushangaza eti wote ni Voda sasa sijui kama ni kampuni hiyo tu au hata nyingine. Nilipata bahati ya ndugu yangu mmoja kunirudishia simu harakaharaka lakini nilichosikia tu ni kua "mtandao choo"...
  12. B

    Watanzania wamjia juu swahiba wa Kikwete

    A good start, let's not rest on our laurels just yet...safari bado ni ndefu, vita mbele, JF oyeee!!
  13. B

    James Sinclair: A Friend or Foe?

    Mr. Sinclair's company trades both on the AMEX (American Stock Exchange) and TSN (Toronto Stock Exchange) under the ticker symbol TRE. I am by no stretch of the imagination a lawyer or have in depth knowledge of the financial markets. However, I do know that once companies are publicly traded...
  14. B

    James Sinclair: A Friend or Foe?

    Actually nimegundua kua tanrange na tanzania royalty exploration is the same company!
  15. B

    James Sinclair: A Friend or Foe?

    http://www.tanzanianroyaltyexploration.com/s/Home.asp Hii pia ni kampuni ambayo iko traded on the Toronto Stock Exchange huyu Sinclair akiwa ni mwanzilishi na major shareholder. Pata kitu.
Back
Top Bottom