Hawa Voda Vipi?

Bilionea

Member
May 16, 2008
17
0
Nimejaribu sana kupiga simu leo bongo lakini kwa bahati mbaya siwapati jamaa zangu wote na cha kushangaza eti wote ni Voda sasa sijui kama ni kampuni hiyo tu au hata nyingine. Nilipata bahati ya ndugu yangu mmoja kunirudishia simu harakaharaka lakini nilichosikia tu ni kua "mtandao choo". Yaani mimi ninamsikia vizuri tu ila yeye hanisikii kabisa!
 

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,226
0
Hili Ni Swali La Huduma Kwa Wateja Mbona Husemi Uko Nchi Gani Bwana Mkubwa ? Ili Uweze Kusaidiwa Vizuri Siku Zingine ? Weka Zwali Lako Wazi

Ahsante
 

Bilionea

Member
May 16, 2008
17
0
Kweli nimechemsha mzee, niko Marekani na nilikua najaribu simu toka jana mpaka leo hii sasa ni takribani saa nane na robo eastern time.
 

Bilionea

Member
May 16, 2008
17
0
mara ya nne sasa anapokea mtu nadhani anaongea kihindi tu for some reason! Na hizi ni namba nne different za Voda!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom