Recent content by bililiza glady

  1. B

    JamiiForums Tanzania Fahamu aina mbalimbali za breed za mbwa

    Mimi mbwa wangu hali chochote zaidi ya nyama,na nyama yenyewe anachagua,nashindwa kuelewa ni minyoo au hana hamu ya kula?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mchepuko una mimba yangu

    Kwanz huo ni ushenzi na unatabia chafu,Huo mchepuko ulivyokua unalala nao hukujua kuwa kuna mimba?wanaume wenzio wanafanya hayo mambo kwa akili na kuwajali wake zao,sasa mungu akadhibu ipasavyo na uumbuke mbele ya familia na jamii kwa ujumla
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msichana atayeniomba anitoe out kwa gharama zake, hata kama ni 5,000, namchumbia jioni hiyo hiyo

    Jamani wanaume wa siku hzi ni balaa,sifa ya mwanaume ni kutoa haijalishi umetoa mara ngapi,sasa mkianza kuhesabu umetoa out wanawake wangapi,itafika kipindi umeoa utamwambia mke aende kutafuata hela ya kukulisha na kukuvisha kisa ulimtolea mahali na unamlea hapo nyumbani
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ivi hii ni laana au Sangoma anahusika

    Kwanza ulimpotezea muda binti wa watu,pili kama ulijua humtaki ungemuacha mapema kuliko kumchezea,Mimi naona ni sawa malipo hayo yanakufaa,ili nawe uone utamu wa kupenda pasipo pendeka
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je hili ni kweli?

    Inategemea na baba yako yukoje au mama yako,maana kuna wazazi wengine ni majanga hutaki hata mwanao arithi huko
  6. B

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa na picha za utupu zilizosambaa mtandaoni huyu hapa, ahojiwa na kunena haya

    Jamani hki kitu nikizito sana,huyo ameishachanganyikiwa yani anaongea angalau roho yake ifarijike
  7. B

    JamiiForums Tanzania Bila kuhonga sipewi, sijui ni mkosi

    Na wewe kuwa mjanja tafuta mwanamke mwenye pesa akuonge,vijana wenzio wajanja siku hzi hawapendi kuombwa hela wanataka wamama wenye pesa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni sehemu ya upendo au?

    Mimi ni msichana,hyo anakupotezea muda,kama una mpa hela basi unachunwa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuhusu past ya mchumba wako

    Yaliyopita yamepita,aliamua kuanza ukurasa mpya wa maisha
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ukitaka binti wa kitanzania akupende kwa dhati, mfanyie mambo haya

    Dunia hii no money,no honey
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kuhusu past ya mchumba wako

    Huyo binti nae ni fala,kuna vitu vingine si vya kuropoka.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mimi tatizo langu,kuna baadhi ya channel hazionekani kama tbc,tv1,channel 10.alikuja fundi ila alishindwa tengeneza
Back
Top Bottom