Ivi hii ni laana au Sangoma anahusika

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
1,160
1,192
Habari wana jamvia
Ni ivi wadau,nilikuwa kwenye mahusiano na kashemeji kenu, kazuri flani ivi miez kama7 ilopita na kweli kalinipenda sana.Mtoto aliamini kapata bwana mwema maishani ila ndugu yenu sikuwa ata na moja kichwani kumuhusu yeyee

Basi baada ya mda flani kupita,kijana wenu nikatamani kuwa na koloni jipya,kuhusu uyu sikujali,nkajitahidi kumtafutia visababu japo kwa asilimia kubwa alivimudu visa nilivyombabikizia nia na lengo ni yeye aniache mimi yani tubwagane

Basi baada ya visa vyote kugonga mwamba,nikamtolea uvivu kwa matusi na kejeli japo pia alivumilia,ikabidi nimsindkize na kafumanizi ka kimkakati yani ka kupanga

Basi aliumia sna na kweli tuliachana,nakumbuka maneno yake aloniambia kuwa Sito kuja kupata demu kama yeye,na zaidi tamkumbuka.Bas muhuni nikaona ni maneno ya mkosaji,KWENDRAAA

Wadau kuanzia pale,kupata koloni kwangu imekuwa tabu sana,yani paka nitumie nguvu nyingi kama kupromote siasa za upinzani kwenye uongozi wa Tulia

Ni mizinga mixer vibomu kama niko vitani yani,Mara nibaniwe papuchi na ela nmechunwa yani paka sielewi

Au ni laana wajameni,au mrembo aliniendea kwa sangoma.ILA SILUDI KUOMBA SORRY,TAKASILISHA MIZIMU
 
Rudi Kaombe radhi
 
We ni kiboko yaaani na mjinga vile vile hayo hayausiani na uchwani kama umesoma olevel physics form 2 kuna law of motion inasema "every reaction there is an equal and opposite reaction" zamn yako now
 
Mbona mapema sana unajishuku? amekwambia kutoka moyoni mwake lakini utailipa thamani ya chozi lake hata kama miaka 10 ijayo kama uhai unao utamkumbuka kweli..
 
dawa ya matatizo ww nenda kalale juu ya bahari alaf tafuta nyoya la kuku alieachwa na mme wake changanya na machoz ya simba alafu kunywa...

then nenda kaombe msamaha... mambo yanakua freeeesh
 
Msamaha mizmu ndo haitaki..labda nifanye ayo kwa windo jipya
 
Habari wana jamvia
Ni ivi wadau,nilikuwa kwenye mahusiano na kashemeji kenu, kazuri flani ivi miez kama7 ilopita na kweli kalinipenda sana.Mtoto aliamini kapata bwana mwema maishani ila ndugu yenu sikuwa ata na moja kichwani kumuhusu yeyee

Basi baada ya mda flani kupita,kijana wenu nikatamani kuwa na koloni jipya,kuhusu uyu sikujali,nkajitahidi kumtafutia visababu japo kwa asilimia kubwa alivimudu visa nilivyombabikizia nia na lengo ni yeye aniache mimi yani tubwagane

Basi baada ya visa vyote kugonga mwamba,nikamtolea uvivu kwa matusi na kejeli japo pia alivumilia,ikabidi nimsindkize na kafumanizi ka kimkakati yani ka kupanga

Basi aliumia sna na kweli tuliachana,nakumbuka maneno yake aloniambia kuwa Sito kuja kupata demu kama yeye,na zaidi tamkumbuka.Bas muhuni nikaona ni maneno ya mkosaji,KWENDRAAA

Wadau kuanzia pale,kupata koloni kwangu imekuwa tabu sana,yani paka nitumie nguvu nyingi kama kupromote siasa za upinzani kwenye uongozi wa Tulia

Ni mizinga mixer vibomu kama niko vitani yani,Mara nibaniwe papuchi na ela nmechunwa yani paka sielewi

Au ni laana wajameni,au mrembo aliniendea kwa sangoma.ILA SILUDI KUOMBA SORRY,TAKASILISHA MIZIMU
hahahah acha umalaya
 
Kwanza ulimpotezea muda binti wa watu,pili kama ulijua humtaki ungemuacha mapema kuliko kumchezea,Mimi naona ni sawa malipo hayo yanakufaa,ili nawe uone utamu wa kupenda pasipo pendeka
Kwan kla mahusiano lazma yafikie ndoa mdau.Mengine ni premier kuelekea ligi kuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom