Recent content by Bilali baba sauda

  1. B

    Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    ila kwa zama za sasa tulizonazo gari inaenda kuwa kama basic need kwenye familia kwa sababu kuna dharula nyingi au matukio mengi ambayo ukiwa na usafiri utayafanya ukiwa comfortable. mimi binafsi bado sina gari naunga unga mwana ila kipindi mvua ikinikuta kwenye mizunguko yangu huwaga natamani...
  2. B

    Naomba Ushauri wa gari zuri la Kutembelea

    Vp kuhusu klugger wadau maana niliipenda sababu ni gari ya juu kidogo au kama kuna gari mnishauri maana napenda gari ya juu sababu ya maeneo ninayoishi ni rough road
  3. B

    Mliowahi kutumia bati za kampuni ya BATI BOMBA LTD au kampuni zozote ndogo za mabati

    bati bomba kimeo kaka mie nazijua achana nazo siuzi bati ila nakushauri chukuwa kiboko. kwangu hapo sijawahi tumia nje ya kiboko
  4. B

    Mliowahi kutumia bati za kampuni ya BATI BOMBA LTD au kampuni zozote ndogo za mabati

    Bati uhakika ni Alaf baada ya hapo kiboko zengine uwe na machake sana huwa ni nyepesi mno mfano hiuo bati bomba kimeo. Pia zingine zinapauka 5000 tu inaweza kukuharibia nyumba yako
  5. B

    Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    hahahahahaha komaa ndugu hata mie nawazaga sana huu mziki wa ghorofa maana nina nyumba kama 3 hivi najiulizaga ningeweka hizi nguvu pamoja si nina kagorofa na mie
  6. B

    Tulio hamia nyumba zikiwa hazijaisha tupeane uzoefu na changamoto

    ubora wa kazi ni vyema ufanye finishing iliyokamilika kwenye room yako utakayolala pengine ndio uende mdogo mdogo
  7. B

    Ujenzi wa hidden roof na paa la kawaida

    Naomba kuuliza hasa ukiacha urembo unafuu wa maisha ya kujenga uko wapi kwenye roof ya kawaida na zile za hidden?
  8. B

    Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    hii ramani kubwa sana nahisi hata hiko kiwanja kidogo pia sio nzuri tafuta ramani simple maana kuteseka sio sifa ila pia jenga nyumba ambayo kesho hata ukiama hayo mazingira unaweza kuitumia hata kibiashara. ila ni mawazo tu
  9. B

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wazo jema nimeliona ni biashara za kina dada hasa nguo za ndani ni bora sana
Back
Top Bottom