Recent content by bikira wa Kimasai

  1. B

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Kamati Kuu CCM kukutana Mei 23 Dodoma kujadili ajenda mbalimbali

    Chama gani Ccm ilishajifia kama mlipata 61% safari hii ukimtoa Lowassa mna mgombea gani wakupata hata 50%???
  2. B

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Kamati Kuu CCM kukutana Mei 23 Dodoma kujadili ajenda mbalimbali

    Nape anasahau kwamba mpango wa Mungu lazima utimie hata ukicheleshwa vipi,Na pili huyu huyu Nape akitumika kumchafua Jk 2005 na mizengwe yoote bado alishinda,sasa Nape amekuwa mfuasi wa siasa Za Kipuuzi sana na anatanbua baada ya Jk kuondoka hana chake na ndio maana analazimisha kutengeneza...
  3. B

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Kamati Kuu CCM kukutana Mei 23 Dodoma kujadili ajenda mbalimbali

    Niekeze Masikitikiko Yangu kwa Hichi Chama changu cha Ccm na Mizengwe dhidi YA Wagonbea Urais... Ikumbukee ni wiki sasa imepita Tangu Chama kitoe ratiba ya Vikao vyake Dodoma,Wanaccm na Watanzania wako mkao wa kutaka kuona kipenga kimepulizwa Kwa ajili ya kumpata Mrithi wa JK... Katika hali...
  4. B

    Lowassa na Mengi ukitoa nguvu ya fedha, hawawezi kujenga hoja inayooleweka

    Tafuta na wewe pesa zako unaongelea watu ambao sio level Yako hata chembe Lowassa sio saizi hata YA Rais wako miaka 2 YA uwaziri mkuu alifanya nchi ikaonekana
  5. B

    Hivi Lowassa hana washauri? Naona anapoteza muda na fedha zake bure!

    Inawezwkana wewe ukawa mkimbizi kijana tuambie watanzania wenzako wanamtaka nani? Huujaacha tuu kutumiwa na kina Nape hadi leo?
  6. B

    Ukinyonga na unafiki wa Sitta na Mwakyembe wadhihirika

    Waombee adui zako waishi miaka mingi ili wanapobarikiwa wajionee kwa Macho, Lowassa MTU Wa watu chaguo la watu,Tuliudhunika pamoja na Tutafirahi pamoja.
  7. B

    Mkakati wa Lowassa wavuja.Aamua kutumia mamilioni akitangaza nia

    #EL2015 ➡Elimu bora na bure ➡Ajira kwa vijana ➡Afya bora na inayopatikana kwa wakati.
  8. B

    Mkakati wa Lowassa wavuja.Aamua kutumia mamilioni akitangaza nia

    Utatafuta pa kujificha,Wagonjwa wako Hospital EL yuko fiti imara sana kama Jana na juzi. Haepukiki kamwe ndiye chaguo letu tulio wengi mtake msitake.
  9. B

    Mkakati wa Lowassa wavuja.Aamua kutumia mamilioni akitangaza nia

    EL atawaloanisha nyoote soon... Tuna Imani nae sana sana
  10. B

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Vijana tunajadili Sera kuendana na mahitaji kisha tunajadili utekelezaji kuendana na nyakati kisha tunamuangalia nani wakumkabidhi kutuvusha. Alie na matatizo na Edward akosoe na apendekeze amtakae kuendana na mahitaji Kisha utekelezaji wa mahitaji.utazunguka na utarudi katika usimamizi wa...
  11. B

    Watetezi wa Lowasa: Ni kweli ni jasiri, mchapakazi lakini je umepima uzito wa upande wa pili

    (Soma makala hii hadi Mwisho uwajue na ujihadhari nao) Na Jacob Malihoja WAKATI Mhe.Edward Lowassa alipokuwa Waziri Mkuu na hata katika nafasi zingine alizoshika hakupenda uzembe, hakupenda vitu vilale,hakupenda madudu mbali mbali yafanyike, hakuwa na mzaa .. hiyo ndio hulka yake kwasababu...
  12. B

    Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Acheni uongo nyir vijana MNA safari ndefu ya kwenda,Ridhiwani yuko jimboni hajaonrkana Dodoma wiki sasa imepita.
  13. B

    Mlikuwa wapi kuwaunga mkono Zitto na Kafulila?

    Mnaishia kuwaona wenzenu wapuuzi,Naendelea kusimaia ukweli na ukweli siku zote unauma sasa nyie tukaneni lakini msg sent......Mmeumbuka
  14. B

    Mlikuwa wapi kuwaunga mkono Zitto na Kafulila?

    jenerali ambamba baada ya upambavu ndio jibu?pole sana mkuu ila ukweli unauma siku zote.
Back
Top Bottom