hongera sana kaka wanalima sana Ngwasha upande huu na wateja ni Wakenya na pia vitunguu,wafugaji kweli wanasumbua but kidogo siku hizi sheria imekuwa kali so wako makini nikujitahidi kuweka fance eneo lako tuu
ooh ok nilifikiria Kahawa maana bado na eneo kama eka 70 sijalifanyia kazi ndio nipo kwenye process lakulisafisha ,na horticulture kwaajili ya cash flow...nipe mawazo Kilimo gani kingine?
Chief shamba ni eka 104,60 zinamkonge tayari unaenda mwaka wa tatu,zilizobaki tunasafisha kwasasa eka 13 za kuanzia kilimo cha kawaida zinazobaki tutaendelea kuzisafisha kwaajili ya kupanda mkonge mwakani inshaAllah
Habari ,natafuta kijana mwenye elimu na uzoefu wa kilimo na ufugaji anaeishi Mkoa wa Kilimanjaro,,Shamba lipo Makanya Wilaya ya Same ,Shamba tumechimba maji na kuna kilimo cha mkonge kinaendelea tunataka kulima Mazao mengine ,mwenye interest kwa maongezi zaidi ani DM na my Whatsapp...
nimepanda kwa mara moja shamba lote na palizi nafanya kwenye miraba kwa mkono uzuri nipo karibu na estate ya METL so nguvu kazi napata kupitia hapo na kwa sasa narudia mbegu ambazo hazijakaa vizuri nimejipanga kaka Alhamdulilah
Sijawahi Kaka nasijasema soko la nje ni rahisi na mimi nipo nje naona watu wanavyopambana kuleta mazao huku na kupata faida kila kitu kinawezekana ni kupambana tuu usiwatishe watu ndugu
Kaka labda umesoma hukunielewa ujumbe wangu na pia kuuliza Soko si mbaya kwasababu kuna watu maybe washafanya na kuelewa hili zao vizuri ndio maana unatakiwa kufanya research kwa jambo lolote ambalo ujalianza kujua undani wake na sio kila kinacholiwa kinapendwa na wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.