Recent content by bigjeff

  1. bigjeff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

    Duu hatari sana..haya mawazo yako Mungu akusimamie kwakweli akupe upeo wakufikiri kwakweli Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Nipo Dar, nina Tsh. Milioni 30. Nifanye biashara gani?

    Kabisa kaka hata kuingia siku izi ni unaona uvivu hamna madini Fcbk imeamia humu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusambaza vitu na huduma kwenye makampuni makubwa

    Naelewa kaka lakini hamna rahisi kila kitu nikupambana but vitu vinafanyika
  4. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusambaza vitu na huduma kwenye makampuni makubwa

    Kaka ongea kitu ambacho unakijua usiwakatishe tamaa, Gypsum unaomba tender ukipewa wanakuletea mpaka magari wao viwanda vya cement kuja kuchukua mawe, labda changamoto ni kupata hiyo Tender Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Top 5 IDs tamu za watoto wa kike

    Kuna watoto wakike kumbe JF sikujua okay Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

    unao nini mkuu,,nidm namba yako tutete tunaclaim hapo Lindi naleseni
  7. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Natafuta lori(box) kuanzia Tone 10..(kukodisha)

    Natafuta lori kuanzia tone kumi nakuendelea kuna mzigo kutoka Dar kwenda-Dodoma,Iringa na Shinyanga.. ASAP 0716792692 ..SITAKI DALALI
  8. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Tujadili simu hii mpya ya TECNO

    siokwelikwani apps si unadowload tuu au
  9. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    nipigie chief
  10. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    ni metre mkuu thanks
  11. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Mbagala kwa mbele kidogo
  12. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Nauza kiwanja kipo Kisemvule(Mbagala) kina hati.,ukubwa 100*50,kutoka barabara kuu kama km1.5,bei tunaanza 5.5m,maelewano yapo nipigie 0716792692,Asanteni.
  13. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Gym(Fitness centre)

    Habari zenu wana Jf nilikuwa na ndoto siku moja niwe na fitness centre yangu kwasababu wanasema fanya kitu ukipendacho utafanikiwa zaidi. Wana Jf kuna mtu yoyote anaifanya hii biashara au ana utaalamu nayo jinsi ya 1.kuiendesha, 2.gharama zake vifaa na wapi kwa kuvipata(sehemu ipo nikuifanyia...
  14. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Real Estate business?

    when bro?
  15. bigjeff

    JamiiForums Tanzania Real Estate Developer

    am still learning bro
Back
Top Bottom