Hapa nime notice vitu viwili, cha kwanza wanawake hamwezi ku handle accountability, cha pili mnapenda kujifananisha sana na wanaume in all spheres/aspects of life. Jamii linatupokea sisi tofauti katika mienendo yetu na katika vitendo vyetu, na maanisha at the end of the day. The repurcussions...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mi naona hio kutumika baada ya kulipa mahari ndo miyeyusho zaidi. Maana wajomba wanakua wanajipigia BUREEEE!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mi naona fisting [emoji1477][emoji1477] ndo imekua kama trend mpya hapa mjini. Nasema hilo kwasababu moja nimeona limezungumziwa humu kama vile ni jambo la kawaida na sio mara moja. Pili, wahusika kwenye wakiwa kwenye tendo esp wakikutana size zao haziendani...
Bodaboda mmoja alinichana kua ata akiamka saa sita mchana akakomaa adi saa mbili usiku hakosi 50K per day. Per month hio ni 1.5M na hapo ameamka mchana, na hapo bado hatuja jumlisha dili za hapa na pale. Tu assume anaingiza 2M per month, huo ni zaidi ya mshahara ya watu wengi sana walioajiriwa...
Mimi aliniambia kua mume wake alimzoesha kupiga 3some bila yeye kupenda, yani 3some ya FFM (wanawake wawili kidume mmoja), mume akakolea akaanza kumwomba mke wake atafute rafiki zake ambaye atakua tayari kufanya huo mchezo na atakua tayari kumlipa hela sijui 250K, bhas KE akawa anakubali...
Kitendo cha wewe kuridhika haimainishi kua na mwenzako atakua ameridhika na wewe. Unaweza ukawa umeridhika ila mwenzako akawa na mwenzake mwingine anae mridhisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.