Recent content by Bigabiro

  1. B

    Kisia ni wapi hapo kwenye picha?

    hapo milima ya ngorongoro
  2. B

    Ujumbe wangu wa leo kwa akina dada zangu mnasemaje kuhusu huu ujumbe?

    Haya ndio maendeleo yaliolengwa beijing na sio baba aingie nyumbani saa 4 ucku na mama saa 5ucku, wanawake fungukeni!
  3. B

    Mh. Steven Wassira afunika Mwanza

    Pesa za kifisadi zote hizo, kodi za wananchi
  4. B

    Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Siasa za Tanzania fitina tupu
  5. B

    hapa sio kujidhalilisha?

    nadhani wanapima uzito wa mizigo na si vinginevyo
  6. B

    Promise of love

    Jamaa mnyimi wa fadhira alishindwa kumpenda akiwa hai anapenda mtu aliyekufa!
  7. B

    Kigoma mwisho wa reli

    kigoma ni mji wa waha, wamanyema, watongwe, ni vikabila vidogo vidogo sana, ndg zangu kigoma sasa hivi ni mji wa uwekezaji. kama una mavumba kimbia njoo kgm baada ya daraja la kikwete kukamilika patakuwa hapakamatiki
  8. B

    Lawama halisi

    Tusilaumiane, kila mtu ajiangalie na kujikosoa
  9. B

    Kigoma mwisho wa reli

    Ukiwa kigoma utapata ukarim kutoka kwa wenyeji, migebuka, dagaa safi, mitebwe, makopa, ngazi, mise nk
  10. B

    wife of today

    ma-wife wa siku hizi kama wanavuta bangi
  11. B

    Compare & contrast..who is the best

    Ni vema kumshauri huyu dogo "diamond" umaarufu wa kuhondomola sio inua mjengo maeneo yenye umaarufu hapa Dar tutakuona mkali, vinginevyo ni ushamba tu!
  12. B

    EPZA wafanya ufisadi; mmoja afoji safari ya nje na kulamba mamilioni

    Tanzania ni ya watu wa familia chache za viongozi waliowahi kuongoza nchi hii, wataendelea kula hadi wajukuu zao. lakini matokeo yake ni kama ilivyotokea mbeya na ile ni kiduchu!
  13. B

    Barabara ya kifo - World's most dangerous road - Bolivia

    barabara hizi zikijengwa tz na hawa madereva wetu kila siku ajali
Back
Top Bottom