EPZA wafanya ufisadi; mmoja afoji safari ya nje na kulamba mamilioni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EPZA wafanya ufisadi; mmoja afoji safari ya nje na kulamba mamilioni

Discussion in 'Jamii Photos' started by TANleaks, Nov 16, 2011.

 1. T

  TANleaks Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna taarifa za kiintelejensia kuwa afisa wawili wa EPZA walikuwa na ziara nchini Malaysia lakini wakakosa Visa na kisha kujifungia majumbani kwao kuzuga kuwa wamesafiri. Taarifa za ndani zinaeleza pia kuwa maafisa hao wameandika ripoti itakayokabidhiwa kwa Mkurugenzi wao katika siku mbili zijazo. Uhakika na ukweli zaidi unabainisha kuwa gharama za chini kwa mmoja wa maafisa hao zilikuwa Dola 15,000. Tanleaks inaweza kutoa taarifa zote za ufisadi huu
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Tanleaks tunaomba address ya wewbsite yenu.
  Hii nchi inaliwa sana, dawa ni sisi kuwa wanoko kama mwalimu Lukuwi.
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Tz hii bana.
   
 4. B

  Bigabiro Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni ya watu wa familia chache za viongozi waliowahi kuongoza nchi hii, wataendelea kula hadi wajukuu zao. lakini matokeo yake ni kama ilivyotokea mbeya na ile ni kiduchu!
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Yaani Malaysia inahamia majumbani!Hii nchi watu wana laana na fedha
   
 6. k

  kamimbi Senior Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mambo kama haya ndo yaliyomfukuzisha LAIZA foreign affairs.
   
 7. bg_dg_dy

  bg_dg_dy JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  Kuna mkuu wa procurement nahisi kafukuzwa pale, mAana alitolewa magazetini kuwa hafanyi nao kazi tena! Yawezekana imegunduliwa ufisad wake wakamtemesha nyanga! Mwenye data zaidi atupe
   
 8. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  nimefanya uchunguzi wangu sehemu waliotakiwa kwenda ni Equatorial Guinea wakakosa visa wakaamua kukaa homu siku ziishe warudi ofisini
   
Loading...