Recent content by Big Shaman

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Aweken
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Big mouth ni a.k.a ya Park chanho drama inaitwa Big mouse ikimaanisha panya mkubwa
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Rugol
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    The devil judge hii ni hatari na nusu
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Big mouse
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Con artist
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Defendant
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Series kali za madetective 1. Tell me what you saw 2. Mouse 3. Beyond evil 4, again my life
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    katafute series inaiwa BLOOD star ni PARK JI SUNG
  10. B

    JamiiForums Tanzania Genius ni mtu ambaye mwili wake unakaliwa na roho ya mtu msomi iliyotoroka kutoka mbinguni?

    wewe unadhani ni kawaida? Hizo ni rnho za watu mkuu. Imagine roho ya NYERELE ikaibukia kwa mwanao
  11. B

    JamiiForums Tanzania Genius ni mtu ambaye mwili wake unakaliwa na roho ya mtu msomi iliyotoroka kutoka mbinguni?

    huiulizi kwanini wazazi siku hizi hawawapi watoto wao majina ya kurithi? Badala yake wanawapa majina kutoka kwenye vitabu vitukufu!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Genius ni mtu ambaye mwili wake unakaliwa na roho ya mtu msomi iliyotoroka kutoka mbinguni?

    Yesu kristo alitoka mbinguni kama roho akaibukia duniani kupitia mimba ya bikra maria, nadhani mnajua mambo makubwa aliyo yafanya. Roho + mwili = binadamu. Chukulia mfano roho ya marehemu mwenye PhD imerudi duniani kupitia kichanga kilichozaliwa leo unadhani huyo mtoto shuleni atakuaje? Je...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

    Wewe unadhani nini kingetokea kwa jamii kama wangetangaziwa tu gafla? Kuvujisha taarifa it was the part of the plan to prepare the wananchi psychologically maana ule mcyba ulikuwa ni wa watiziii wote it was all planed.. Conclusion angalia aliye anounce the event na anaye anounce the memorial day...
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Falsafa ya,"tuishi nao kwa akili" ni fumbo kwa wengi

    unadhani wazazi wako ni wajinga kukuchagulia mke? Au unadhani ndoa ni kugegeda tu ndo ndoa inaishia hapo?
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Falsafa ya,"tuishi nao kwa akili" ni fumbo kwa wengi

    kukataa ndoa ni dalili ya kukosa akili
Back
Top Bottom