Recent content by Big potato

  1. Big potato

    JamiiForums Tanzania Lissu amjibu Ndugai. Asema anatekeleza agizo la Magufuli amfukuze ubunge ili amshughulikie uraiani, asisitiza anarudi Sept 07

    jamii yetu hii ya JF 2mejawa na chuki 2lioweng wa2 wanaotetea Fisiem wana2kanwa na kudharauliwa cjui kwa nn? kngn kuhusu Lissu kufukuzwa ubunge kuna namna mbili nadhan moja Spika ali2mia vifungo vya sheria kumuadhibu Lissu km ndio kuna haja ya kujiulza na km co kwa nn reply ya Lissu imecmama...
  2. Big potato

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki ni Chanzo cha utawala Mbovu na Uchumi Duni (Tanzania)

    kuna mwaka serikali ilitaka kuleta mahakama ya kadhi ya kiislam napo kanisa katolik lilihusika?? Kwan CCM inahusiana vipi na iman hiyo
  3. Big potato

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Man Utd wa Bongo tu ndio wanataka Man City ashinde leo pale Old Traford

    mtoa mada umefuatilia ata malegendary wa Utd wanavyosema au kujichukulia?? huo mtandao ulioingia n washabik makindakinda yaan watt wadogo na washabik wa City Paul Scholes kawaambia Utd km n sahihi walitaka kushindana wangepania kwa Wolves,Arsenal na Everton co kwnd kumsaidia Liverpool
  4. Big potato

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Mbilinyi "Sugu" : Kama kuna mtu ana mpango wa kugombea Mbeya Mjini asahau, wana Mbeya wameshafanya uamuzi

    Mi bwana cko upande wwt ila Cdm kwa Mbeya mjin lazma ishinde ata km co mh.Sugu ata jiwe liwekwe....Ila ss je,wananchi wanaiman na chama au wanaiman na utwala wa m2 au wa2?? maana chama n mkusanyiko wa wa2 wng waliowema na waovu pia km vle Mbowe
  5. Big potato

    JamiiForums Tanzania Sakata la Nassari limeonyesha udhaifu mkubwa katika Uongozi wa CHADEMA

    Ninaamin Mbowe n mwanasiasa mzur ila hafai kuwa kiongoz kwa kuwa anasifa nyng za udhaifu na kununulika...nlishawah mshabikia ila baada ya kumuona mwenendo wk nkaona hafai
  6. Big potato

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

    tangu nisome biblia na kujifunza mtanikosoa km nnakosea kitu nlichojifunza ni baada ya mitume 12 akiwepo Paulo hakuna utume wala unabii maana yake hakuna analeta jipya au kutoa mafunuo sahihi ya Mungu icpokua mitume waliwateua makuhani yaan viongoz au 2waite wasii wakucmamia unabii wao na utume...
  7. Big potato

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: JWTZ ni Jeshi la Wananchi, si Jeshi la Watawala wala Viongozi!

    JF weng n upinzan na ha2ongei fact wkt mwngn 2nasema 2 ili kuleta minyumbuko au mihemko ye2 yaan m2 akileta maada ya kuicfu serikal ana2kanwa ila akileta ya kuiponda anapongezwa sn hapo ha2tend hak kimcng 2chambue kila hoja
  8. Big potato

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli umeupata vyema ujumbe wa Kumuhusu RC Makonda kwa waliomchoka kupitia kwa Pierre Liquid?

    Makonda atashambuliwa ata na mawe yaani mganga wk alimdanganya
  9. Big potato

    JamiiForums Tanzania Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

    Ha2katai kiongoz kaz yk n kukemea mabaya na kucfia mazur ila kuna wkt mambo mabaya yacyo na madhara moja kwa moja na ambayo hayana 7bu wa2 km wakuu wa mikoa n vyema kuyapuuza na pengn unapocmama na kutoa kaul za kumdharirisha m2 moja kwa moja co za kufumbiwa macho...Na hii ingekua kipimo cha...
  10. Big potato

    JamiiForums Tanzania Namwona Rais Magufuli katika sura mpya iliyojaa UPOLE,UPENDO na HURUMA!

    kinachoshangaza n kp Magufuli n m2
  11. Big potato

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    Mimi sio Islam au Mkristo ila msema kweli..uliyetoa maada kwanza Catholic unapaswa uwaheshim sn maana wao ndio wamekufanya uwe na biblia na uijue io dini na unasema so called Kanisa la Mungu...Cha kwnz elimu ulioieleza na maneno yk inaonesha hujui historia iliyopo wala hujui talehe,hadith,quran...
  12. Big potato

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    Mimi sio Islam au Mkristo ila msema kweli..uliyetoa maada kwanza Catholic unapaswa uwaheshim sn maana wao ndio wamekufanya uwe na biblia na uijue io dini na unasema so called Kanisa la Mungu...Cha kwnz elimu ulioieleza na maneno yk inaonesha hujui historia iliyopo wala hujui talehe,hadith,quran...
  13. Big potato

    JamiiForums Tanzania CCM yeteka kwa mabavu ofisi za CHADEMA Rombo

    Kwanza lile sakata la ACT msajili ange2mia hekima kulko kusema aliyoyasema au la siivyo km hii taarifa n ya kwel bas waandikiwa barua na wao CCM wajitetee kwa sabu na wao ni chama cha Siasa co miungu wa2....
  14. Big potato

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuanza ziara Ujerumani mwezi Aprili

    Mimi mpk ss cjaelewa Lissu anaongea maovu ya nchi akiwa nje kwa nn?? ila knachonishangaza watz 2nafurahia Lissu kupokelewa na mabeberu au Akitoa shida za nchi ye2 kwa mabeberu ndio atasaidiwa....Nnachokiamin mm Wa2 waulaya hawa2pend cc ata kdogo ss maana ya Lissu kwenda kwao n nn?? it's a bit...
  15. Big potato

    JamiiForums Tanzania Kukiri kwa Umoja wa Mataifa (UN) kuwa Israel inawasaidia magaidi

    Kivipi Israel iunge mkono magenge ya kigaid ilihali hayo magenge huwaza kuishambulia Israel?? magaid wote hawaipend Israel wanadai waifute kwny raman ss iweje wayaunge mikono...suala la Israel halina jibu mpk leo icpokua lile taifa linamaana yakuepo
Back
Top Bottom