Hilo nilijua kwamba watu wa mby hawawezi kuchagua mbunge muoga au fara,big up kamanda sugu.wanakwita sugu nani?wanakwita sugu nani?wanakwita sugu sug suguuuuuuuuuuuuu
Hongera kamanda na wapiganaji wako kwa kufikisha ujumbe.maana mby wamachinga mwanjelwa wanauza siku 7 kwa wk,siku 30 kwa mwezi,na siku 365 kwa mwaka.kwanini iringa wakatazwe kuuza siku1-wa wk ili kujiongezea kipato? Ama kweli ukitaka kuju akili ya mtu mpe nafasi ya kusema au kutenda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.