Recent content by Big L

  1. Big L

    JamiiForums Tanzania Hongereni MAT kwa kusimama na Mwanataaluma Mwenzetu; Afande Muliro ameudanganya Umma

    Wewe lazima utakuwa Askari😁😁
  2. Big L

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu vizuri hii degree ya microbiology na chemistry anijuze

    Kazi Microbiology kiufupi hakuna.. TMDA, NIMR, TBS, GCLA wanachukua hasa watu wa Biotechnology & Molecular Biology.
  3. Big L

    JamiiForums Tanzania Logical contradictions zilizopo kwenye kitabu cha Mwanzo cha Biblia ambazo ni uthibitisho tosha kwamba, Biblia ni hadithi na hekaya za kutungwa tu!

    Wewe ukamilifu una define kwa namna ipi? Sababu pia anaweza kuweka pia contradictions maana anaweza yote..
  4. Big L

    JamiiForums Tanzania Logical contradictions zilizopo kwenye kitabu cha Mwanzo cha Biblia ambazo ni uthibitisho tosha kwamba, Biblia ni hadithi na hekaya za kutungwa tu!

    "Ni dhahiri kwamba kitabu hichi cha Biblia si cha Mungu bali cha wanadamu wasio wakamilifu ndio maana kimejaa utata wa kimantiki unaotokana na binadamu wenye mapungufu."....Hii ni nukuu ya maneno yako mwenyewe ya kuwa wanadamu sio kamilifu na kama sio wakamilifu kuna Mungu ambaye ni kamilifu...
  5. Big L

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

    Pole kama ndiyo umejua leo. Waafrika ni ngono na fitina tu aah hapo umefika labda kuwe na kombe la Dunia la haya mambo tutashinda.. wallahi tena!
  6. Big L

    JamiiForums Tanzania Scientific fact na knowledge Thread

    Ukisoma Kitabu cha Stephen Hawking cha A Brief history of Time.. ameongea vitu vingi mno kuhusu hili ikiwemo issue ya Blackholes.. Jamaa alikuwa Genius!
  7. Big L

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa siku hizi hamlewi?

    "Asa hivi"..
  8. Big L

    JamiiForums Tanzania Homa ya ini ni hatari kuliko ukimwi?

    Huyo sio daktari.
  9. Big L

    JamiiForums Tanzania Homa ya ini ni hatari kuliko ukimwi?

    Acha ujinga wewe, soma kisha chukua hatua jikinge.. Na sio HB, Viral diseases nyingi huwa hazina cure zaidi ya kupewa treatments tu. Sasa wewe jifanye juha tu.
  10. Big L

    JamiiForums Tanzania Homa ya ini ni hatari kuliko ukimwi?

    Wewe nae acha porojo zako za kienyeji, Vaccines zinasaidia kuleta immunological memories ndani ya mwili dhidi ya Vimelea au antigens zozote zile. Hayo magonjwa unayosema yanabebeshwa vipi au ndiyo immunology ya mtaani mtaani?
  11. Big L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

    Ila JF ina furahisha sana. Sawa😂
  12. Big L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

    Hahaha.. sisi tutaamini vipi hizo 200 msg ni za kuombwa hela?
  13. Big L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

    Wewe umejoin 2021 mkuu... hizi habari za 2016 ni kwa ID nyingine au? Au ulivyosema " Humu" ulimaanisha nini?
  14. Big L

    JamiiForums Tanzania Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

    Hakuna faida yoyote ile ya wewe kujichetua na kuandika mambo yasiyo na mantiki.
Back
Top Bottom