Recent content by BIG JOO

  1. B

    Library of Congress Vs TZ National Library

    Ndio bungeni kuna maktaba pia ata bunge la Africa mashariki Lina maktaba pia
  2. B

    NINA LAKI TANO SIMU GANI ITANIFAA..

    Nenda duka la Samsung utapata bei sahihi ila bei zake ni laki nne ata kwa bajeti yako ya laki tano unapata simu na chenji inarudi Na unakuwa umelipa kodi kwa taifa lako usisahau kudai risiti
  3. B

    NINA LAKI TANO SIMU GANI ITANIFAA..

    Laki nne Na ya 4g nenda Samsung dukani kwao utachagua Na kupata maelezo Na utakuwa Na uhakika Na simu yako na uhakika Wa warrant Wa miaka miwili
  4. B

    NINA LAKI TANO SIMU GANI ITANIFAA..

    Zipo za 3g Na 4g uwe makini ukiona bei zipo chini ndio hizo za 3g ila 4g ndio hizo wana uza laki sita Na ishirini
  5. B

    NINA LAKI TANO SIMU GANI ITANIFAA..

    Samsung wanauza laki sita Na 20 ila za 4g ila zipo za 3g pia laki tano unapata ila j5 ndio Bora katika j series hiyo j7 ni kioo kikubwa tu ila kwa ufanisi J5
  6. B

    NINA LAKI TANO SIMU GANI ITANIFAA..

    Samsung j5 ni mzuri chukua 4g haizidi laki nne huto jutia
  7. B

    Msaada: Mtoto niliyemkimbia kapata A tano mtihani wa darasa la 7

    Kuna muda naona diamond yuko sahihi kumwacha baba Yake
  8. B

    Msaada: Mtoto niliyemkimbia kapata A tano mtihani wa darasa la 7

    Anastahili adhabu Kali sana tena adharani yaani hawa ndio wale wanawafata watoto kisa Mali je kama mtoto anapambana Na kesho Yake kwa kuwa anajua Ana baba wala mama ndio maana anafanya vizuri yaani nimeuzika sana kuona anamtaka mtoto kisa kafanya vizur
  9. B

    Msaada: Mtoto niliyemkimbia kapata A tano mtihani wa darasa la 7

    Kwa ushauri wangu tafuta utaratibu ikiwezekana tafuta wazee waende kuongea nao ila sio Leo wala mwezi huu wewe una dhambi sana Na inabidi utubu aiwezekani ukumbuke damu yako kisa tu imefaulu nyie ndio mnaotufanya wanaume tuonekane watu Wa ajabu
  10. B

    Wakongwe Forum

    Vizuri sana naona unarudisha heshima ya wazee
  11. B

    DIRA: Mabilioni yatengwa kuwashughulikia Magufuli, Kitwanga huko Dodoma

    Na wewe utamfata huko kwa wàsaliti maana wote wanakimbilia uko pole sana naona ccm maslai imeamua kupambana matumbo yao hivi mkuu aliwafikiria kweli tangu muombewe Na mwenyekiti wenu
  12. B

  13. B

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Hatunywi sumu hatujinyongi ccm mbele kwa mbele tumeisoma wenyewe chaguo letu milele acha waisome Namba
  14. B

    DIRA: Mabilioni yatengwa kuwashughulikia Magufuli, Kitwanga huko Dodoma

    wapige Kura ya kutokuwa Na imani naye tu Na yeye avunje bunge uchaguzi urudiwe mwendo mdundo
Back
Top Bottom