Recent content by big fish

  1. B

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wenger...Wenger...Wenger..Hivi huyu mzee anaondoka lini arsenal?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wenger angemtoa sanoko badala ya carzola...mm naona anazunguka tu pale.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    huyo atakua ni kishoka. Hakuna mita ya luku inayoonyesha tsh
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ni yupi MKE anayefaa: Mfanyakazi au asiye na kazi (golikipa)?

    mbona hujamalizia kwa golikipa?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je unene husababisha mwanamke kushindwa kushika ujauzito?

    At least mnaponiambia hivyo mnanipa matumaini maana nilikua nimeanza kuogopa. Thanx mkuu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je unene husababisha mwanamke kushindwa kushika ujauzito?

    Wanajamvi Nimeoa mwaka mmoja uliopita.Tumefanya juhudi za kupata mtoto mimi na wife wangu lakini bila mafanikio. Tulijaribu kumuona doctor akasema mke wangu ni mnene na kizazi chake kina mafuta mengi hivyo itakua ni vigumu kupata mimba. Sasa hivi ameanza mazoezi ya kukata uzito japo mafanikio...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanawume mutumbo mukubwa muvitambi ni size 2.Punguzeni mutumbo mutupe raha!!!

    kitambi ni heshima bwana.hata kama huna hela wadada watakuchangamkia tu. mwanaume is not concerned about giving a girl raha. ww tafuta mwingine wa kukupa raha na mm watajileta wenyewe.
Back
Top Bottom