Recent content by Big Eagle

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Serikali ina mpango wa kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili?

    Kwenye vyombo vya habari viongozi mbalimbali wamekua wakisifia kiswahili yakua sasa kinafundishwa nchi za mbalimbali marekani hata uchina. Ona hapa kwenye tangazo la ajira la tamisemi kiingereza ndo kimepewa kipaumbele kiswahili hata kidogo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa shule ya kidato cha tano na sita yenye academy

    Kuchenza anacheza sana ndo maana anataka kuinuka zaidi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa shule ya kidato cha tano na sita yenye academy

    Msaada mwenye kujua shule ya kidato cha tano yenye kufundisha mchezo wa mpira wa miguu hapa Tanzania au nje ya Tanzania anipe contact zao.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza CHADEMA kwa kupokea ushauri wangu

    Ongera
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe siyo kila mwalimu atapewa kishkwambi kama alivyosema Waziri Mkuu!

    Vishikwambi kina tofauti gani na simu janja? Mbona kila mwalimu ana simu janja labda asipende mwenyewe Acha wauze au wawapelekee watoto wao wakavivuje
  6. B

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji tusaidieni kwanini passport haitumiki kama National Identification card katika baadhi ya ofisi nchini

    Kwanza kuipata unaambiwa lete barua ya muariko wa unakotaka kwenda hapo palipo na shida kumbe huwezi kuipata bila sababu ya kutoka nje
  7. B

    JamiiForums Tanzania Shule za English medium na Mahali zilipo Tanzania

    Peleka mtoto shule kulingana na urefu wa kamba yako zipo shule za mtaa wako, kata yako,kata jirani, wilaya, mkoa au mkoa mwingine nk kila shule ni nzuri tu maana vyeti havitoi ajira sikuizi ni connection
  8. B

    JamiiForums Tanzania NBS ilikadiria Tanzania tutakuwa Mil.61.3, Actual figures ni Mil.61.7. Kuna Haja gani Kutumia Mabilioni kufanya Sensa?

    Unataka kuniambia serikali inayohudumia vituo vya afya haijui idadi yake? Shule haijui idadi kila siku inahudumia? Tabu za maji, umeme na barabara mbovu haioni, hali za watu kuwa masikini haioni? Wacha porojo wewe
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" kuunda Tume ya Majaji kumchunguza Biswalo Mganga, aliyekuwa DPP?

    Tanzania wasomi ni wachache ukimtoa utampata wapi mwingine? Huoni hata mawaziri wanajirudia rudia hatuna nafasi ya kutengeneza nguvu kazi mpa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunapowasifia Kenya kwa Demokrasia pevu, pia tutafakari na hili

    Acha ubwege tunahitaji matajiri wengi si kuanza kuhoji iyo pesa imetoka wapi mambo yakizamani ndo yanatukwamisha watanzania
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ipi ni Hatarishi kati ya kauli ya NDUGAI na kauli ya TULIA?

    Labda anapaogopa jimboni kwake bila ubabe anajua hapati kula nae kiti kimeishamnogea ahahaaa bora niendelee kuuza dafu mie
  12. B

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Unafiki na kusifia kila jambo ili kupata vyeo kutaliua Taifa

    Labda umemfahamu leo padre
  13. B

    JamiiForums Tanzania Panya road wanauawa kwa risas. Je, wezi wa mabilioni ya kodi za Watanzania wanabakije salama?

    Nilishawahi kukamatwa mara tatu na zote sikua nahusika, si watetei panda Road ila kunawengine uenda muonekano wao ukawapoza na kupoteza maisha bila hatia
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa shule ya kidato cha tano na sita yenye academy

    Wadau sina mengi ila naomba kujuzwa shule ya kidato cha tano inayo fundisha mchezo wa mpira wa miguu
Back
Top Bottom