Recent content by Big Dy

  1. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa bajaji na boda boda katika jiji la Dar

    Ni kama dala dala tu zinapakia na kushusha mahali popote Sahihi kabisa nadhani upatikanaji wa leseni pia umekua rahisi watu wanapata bila kupitia driving schools
  2. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa bajaji na boda boda katika jiji la Dar

    Kwa mamlaka husika LATRA na wasaidizi wake likiwemo jeshi la polisi lenye mamlaka ya kulinda na kuhifadhi mali za raia, wameshindwa vipi kuvidhibiti vyombo hivi tajwa haswa katikati ya jiji na viunga vyake. Maana tukiachilia mbali ajali tunazo ziona kila siku barabrani vijana wengi kuumia na...
  3. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo sababu 5 kwanini Telegram ni bora mara 100 kuliko WhatsApp

    Barikiwa sana, mimi ninayo ages sasa nimebadili device ikaanza nikatalia mpka nilipie
  4. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Milioni 2 zinatosha kufungua Duka la vipodozi na urembo?

    Anza ndugu, wengi wenye maduka ni mali kauli mtaji ni frame
  5. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Nimekata mawasiliano na mama yangu kwa sababu ya maneno ya kejeli ya mara kwa mara

    Mzazi hakosei, tafuta mda ukae nae uongee nae
  6. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

    Aisee this is what I was looking pamoja na shaur nyingine hapo juu asante sana, nitakupigia shortly.
  7. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

    Shukran mkuu
  8. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

    Kwenye kusoma soma pia niliona ukosefu wa madini hayo ya zinc ni sababu ya changamoto kama hizi, nimekua nakula vyakula hivo na kutumia dawa zenye virutubisho hivo kwa wingi
  9. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

    Bahat nzur nimepima sana uti sina
  10. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

    Hata mimi nimewaza itakuw hernia maana hata kuinua vitu vizito unasikia kabisa mishipa ya korodan inavuta. Natafuta daktar mzur ama hospital nzur kwa matatizo haya
  11. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

    Asante sana kwa ushauri yes ni mtumish mda mwingi ninakua nimekaa na pia kusimama vile vile, nimejaribu kurekebisha vyakula na mazoez lakin naona hali bado
  12. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kiuno na mishipa ya Korodani

    Habari za majukum wanajamvi, Nielekee moja kwa moja kwenye mada, nimekua napatwa na maumivu makali sana ya kiuno na kwenye mishipa inayoenda kwenye korodani. Hali hii inatokea zaidi haswa baada ya tendo la ndoa. Kwa wenye ujuzi naombeni msaada wenu au kama kuna daktari mahsusi kwa kina baba...
  13. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Kupimiwa Eneo

    Nitashukuru sana mkuu, naomba ni dm contact zake tafadhali
  14. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Kupimiwa Eneo

    Mkono mtupu haulambwi mkuu
  15. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Kupimiwa Eneo

    Nitashukuru sana pia tunaweza kuanzia hapo nione tunafanyaje
Back
Top Bottom