Recent content by bid2015

  1. B

    Viza ya Bulgaria inapatikana Tanzania? Wana Ubalozi hapa?

    Kwahiyo hicho chama chako kimekuteua bila kujua pa kupata visa au chuo kimekupa admission halafu hakijui utapataje visa pumbafu ww
  2. B

    Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, 3 Mei 2023

    Ww ni mpumbafu kweli vikao vyenye maana ni vikao gani
  3. B

    Bei ya mahindi kuua wafugaji wa kuku Tanzania

    Saizi kuna mkulima gani ana mahindi ndani au sokoni? Mabwanyenye ndio wamerundika mahindi kwenye maghala huko
  4. B

    Bei ya mahindi kuua wafugaji wa kuku Tanzania

    Ndugu watanzania bei ya mahindi mwisho wa Feb 2023 ilikua kwa jumla 1, 120 kwa Dar Es Salaam lakini bei ya leo 6 March 23 yamepanda kufikia 1, 330 kwa kilo moja. Ongezeko hili ni hatari kubwa kwa wafugaji wafugaji wa kuku na wengineo kwa sababu ongezeko hili ni sawa na 5, 000 kwa mfuko wa...
  5. B

    Rais Magufuli umeshindwa kuinua elimu Tanzania

    Kajifunze kuandika kwanza
  6. B

    Mpaka 2020 nchi itakua imekwisha kbs kiuchumi no direction

    Wewe ndio utakua umekufa kwa kukosa unga
  7. B

    Magari, pikipiki yang'olewa matairi. Ni katika kutekeleza agizo la Rais Magufuli

    Kwann upite njia isiyo yako kama sio mwendawazimu
  8. B

    Maoni kuhusu elimu ya Tanzania

    Kuna thread nimesoma hapa JF nimebaki kucheka sana. Ilikua kuhusu ubora wa elimu Tanzania mathalani elimu ya juu. Mimi nimesoma sua degree ya Kwanza, Boston USA degree ya pili na sasa nasoma PhD China (China agricultural university). Katika michango mingi niliyosoma reality ni ndogo kuhusu...
  9. B

    NEC yamkabidhi bakaa Rais Magufuli bilioni 12 zilizookolewa Uchaguzi Mkuu 2015

    kuna kipindi nilisikia ben sa8 amekufa kumbe ilikua uzushi
  10. B

    Mbunge wa kasulu mjini mh machali kumbe ana laana hata spika makinda alishasemaga

    Imedhihilika wazi na bayana kuwa maneno ya ANNE MAKINDA kuwa MOSES MACCHALI ana laana ni ya kweli baada ya kumtwanga MITAMA, MATEKE, NGUMI NA MAKOFI baba yake mzazi! Mzazi wake huyo ni mnywaji wa pombe tangu Mbunge Machali hajazaliwa ila anataka kumkunja sasa hivi.. wahenga walinena...
  11. B

    Naibu katibu mkuu wizara ya kilimo na ushirika Dr. Yamungu Kayandabila

    Huyu bwana namjua vzr sana kwao ni mkoa wa kigoma wilaya ya buhigwe kata ya mnanila kijiji cha nyakimwe mbunge wake anaitwa Albert Ntabaliba Obama yule mwenye bondeni bar za kulikuwa na river between bar.. Amesoma sekondari MILAMBO TABORA udsm bachelor masterz zimbabwe phd uk... Acheni...
Back
Top Bottom